Mkuu muda wa kufanya hayo umeshafika, unamuuzia vipi mwenzio mchezaji dirisha likiwa limefungwa?π¬ππ‘ππ π‘π ππππ¦ππ π¦πππ¨π π¨ π ππ ππ’ π¦πππ
Uongonzi wa Yanga umefikia makubaliano na Feisal Salamu rasmi kwa kuachana kwa amani baada ya kumaliza mazungumzo yao leo.Yanga wamekubali kumuuza Feisal salumu kwenda kwa Klabu ya Azam Fc kwa dau la Tshs 270.4M kiasi ambacho Yanga sc walikiomba Kutoka kwa Azam Fc kununua mkataba wake Kwenye mazungumzo yao hapo jana.
Awali hapo jana Azam Fc walifikia dau la 160M lakini Yanga waliligomea dau hilo na kuwalazimu klabu ya Azam Fc kurudi tena na ofa yao leo ya pili.Yanga itapokea kiasi cha 150M mwishoni mwa mwezi huu Kama ada ya awali ya usajili Kutoka kwa Azam fc na baadae Azam Fc watamalizia kiasi kilichobaki cha 120.4M katikati ya mwezi wa 7 mwaka huu.
Kwenye dili hili hakuna makubaliano yoyote Kati ya Yanga na Azam Fc ambalo litamuhusisha Kiungo Akaminko Kama sehemu ya dili hili Kama Yanga walivyotaka kumjumuisha Kiungo Akaminko.Hivyo ni rasmi muda wowote kuanzia sasa Yanga itatoa taarifa kwa Umma juu ya taarifa rasmi ya kuachana na Feisal Salamu.
Kinachoendelea kwa sasa ni makubaliano ya kimkataba Kati ya Uongozi wa Yanga na Uongozi wa Azam Fc pamoja na menejimenti ya Feisal salumu juu ya malipo ya ada ya usajili.Mara tu baada ya kumalizika kwa makubaliano aya Feisal salumu atakuwa huru kujiunga na Azam Fc.
Kila la kheri Feisal salumu.
Nawewe umamuamini mleta mada?Sasa hao Azam walishindwa nini kufuata utaratibu wa aina hii tangu mwanzo, na badala yake wakachagua kutumia ile njia ya kihuni?
IASasa hao Azam walishindwa nini kufuata utaratibu wa aina hii tangu mwanzo, na badala yake wakachagua kutumia ile njia ya kihuni?
Amevunja mkataba!Mkuu muda wa kufanya hayo umeshafika, unamuuzia vipi mwenzio mchezaji dirisha likiwa limefungwa?
Sasa kavunja mkataba inakuwaje yanga wafike bei na azam? Si wamalizane na fei tuN
IA
Amevunja mkataba!
Hii option ya kumleta MTU wa kumnunua mbona dogo alishaipewa na Yanga long time. Sema tu elimu ndogo ya wa Zenj hawakuona au hawakuelewa hicho kipengele.π¬ππ‘ππ π‘π ππππ¦ππ π¦πππ¨π π¨ π ππ ππ’ π¦πππ
Uongonzi wa Yanga umefikia makubaliano na Feisal Salamu rasmi kwa kuachana kwa amani baada ya kumaliza mazungumzo yao leo.Yanga wamekubali kumuuza Feisal salumu kwenda kwa Klabu ya Azam Fc kwa dau la Tshs 270.4M kiasi ambacho Yanga sc walikiomba Kutoka kwa Azam Fc kununua mkataba wake Kwenye mazungumzo yao hapo jana.
Awali hapo jana Azam Fc walifikia dau la 160M lakini Yanga waliligomea dau hilo na kuwalazimu klabu ya Azam Fc kurudi tena na ofa yao leo ya pili.Yanga itapokea kiasi cha 150M mwishoni mwa mwezi huu Kama ada ya awali ya usajili Kutoka kwa Azam fc na baadae Azam Fc watamalizia kiasi kilichobaki cha 120.4M katikati ya mwezi wa 7 mwaka huu.
Kwenye dili hili hakuna makubaliano yoyote Kati ya Yanga na Azam Fc ambalo litamuhusisha Kiungo Akaminko Kama sehemu ya dili hili Kama Yanga walivyotaka kumjumuisha Kiungo Akaminko.Hivyo ni rasmi muda wowote kuanzia sasa Yanga itatoa taarifa kwa Umma juu ya taarifa rasmi ya kuachana na Feisal Salamu.
Kinachoendelea kwa sasa ni makubaliano ya kimkataba Kati ya Uongozi wa Yanga na Uongozi wa Azam Fc pamoja na menejimenti ya Feisal salumu juu ya malipo ya ada ya usajili.Mara tu baada ya kumalizika kwa makubaliano aya Feisal salumu atakuwa huru kujiunga na Azam Fc.
Kila la kheri Feisal salumu.
Scam, kwa kiswahili.. utapeli wa mitandaoni.Tigo Postpaid Bando za bei nafuu sana kwa Tsh 15 unapata Gb 15 mwezi mzima , karibu pm kwa maelezo zaidi. Na kujiunga
Fedha wanatoa Azam maana yake wamemnunua, wamemsajili kutoka Yanga.mmekubali kupokea fedha za uvunjaji wa mkataba na wala sio kumuuuza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Azam ndo haikufata utaratibu ila maagizo ya kumaliza hili tatizo wakapewa Yanga na baada ya kupewa tu Azam ikafata utaratibu.Sasa hao Azam walishindwa nini kufuata utaratibu wa aina hii tangu mwanzo, na badala yake wakachagua kutumia ile njia ya kihuni?
Kama habari ni ya kweli, basi bush lawyers wa Feisal watasikitika sana. Maana hiki ndicho walichokitaka Yanga, na kimetimia!Kwanini imegota kwenye gharama ili ile ya Goli la mama walizokusanya Yanga?
Yanga haikutaka kumuachia Feisali na ndio maana ilimpa majibu ya nyodo kuwa nenda CASKama habari ni ya kweli, basi bush lawyers wa Feisal watasikitika sana. Maana hiki ndicho walichokitaka Yanga, na kimetimia!
Yanga imepata inachotaka mara baada ya maelekezo ya Raisi kuwa wakamalizane na Fei.Yanga haikutaka kumuachia Feisali na ndio maana ilimpa majibu ya nyodo kuwa nemda CAS
Ubwabwa wa ikuku kuna haja ya kuuchunguza
We ulitegemea watasemaje na wakati kauli imetoka kwa Raisi?Yanga imepata inachotaka mara baada ya maelekezo ya Raisi kuwa wakamalizane na Fei.
Hahahah gongo waziFedha wanatoa Azam maana yake wamemnunua, wamemsajili kutoka Yanga.
Hili swali utanisaidia jibu wajuzi wakikujibu. Inawezekanaje timu kumuuza mchezaji ambaye ni free agent?Yanga wanamuuza vitu mtu aliyevunja mkataba.?
Kama alivyokula pesa za mbumbumbu wa makolo mlizomchangia aende CAS.We ulitegemea watasemaje na wakati kauli imetoka kwa Raisi?
Hapo hata Feisali angesema ile hela niliitumia kwenye mambo yangu, Yanga walikuwa tayari hela kuchangishana wenyewe kwa wenyewe kumlipia Feisali