Deadly NATO raid hits Libyan university

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
Deadly NATO raid hits Libyan university

Mon Jun 13, 2011 12:49AM
Share | Email | Print
mazimi20110613004025170.jpg
mazimi20110613004030920.jpg

mazimi20110613004025170.jpg
People who were reortedly killed in a NATO strike on Nasser Univresity on Sunday, June 12.
More Libyan civilians have reportedly been killed and injured after a NATO airstrike hit a university in the capital, Tripoli.

New images have emerged showing the aftermath of an alleged NATO air raid targeting Tripoli's Nasser University. The attack reportedly left many university staff and students dead.

Libyan state television says dozens of others were also injured.

The UN Security Council Resolution 1973 has authorized the enforcement of a no-fly zone over Libya to protect civilians against forces loyal to Libyan ruler Muammar Gaddafi.

NATO has carried out many airstrikes in accordance with the UN mandate. However, many civilians have been killed in the attacks.

Meanwhile, clashes between revolutionary forces and Gaddafi loyalists intensified on Sunday.

At least seven people were killed in the town of Dafniya, near the besieged city of Misratah, Khaled Abu Falgha of Misrata's Hekma hospital said.

At least 15 revolutionaries and more than 100 Gaddafi forces were killed in the fighting in the western city of Zawiya, about 50 km (30 miles) from Tripoli, Ahmed al-Hawary, a spokesman for the revolutionary forces said.

MA/MGH

MY TAKE
TUJIFUNZE NDUGU ZANGU WATANZANIA KAMWE TUSIMUALIKE MTU KATIKA NCHI YETU KUTULETEA UHURU, AU DEMOKRASIA, MAUAJI YA RAIA AMBAO NATO WAMESHAFANYA, YAMEZIDI IDADI YA RAIA WALIOFARIKI WAKATI GHADAFI ALIPOANZISHA OPERATION YA KUKOMBOA MJI MMOJA MMOJA KATIKA ILE ILIYOKUWA IMEKALIWA NA WAASI MWEZI FEBRUARY.
 
Very sad indeed,
Katu wamagharibi hawawezi kutuletea ukombozi katika nchi zetu, walishindwa kipindi cha ukoloni ambapo babu zetu waliuawa...sembuse leo?
NO to westerners.
 
Tujifunze kutoka kwa Mwalimu. Mwalimu alikataa kuwakumbatia mabeberu wa kimarekani. Hawana urafiki hawa. Wanachojua ni maslahi yao tuu. Wako tayari kua na kubomoa nchi yoyote kulinda maslahi yao. Wameshaimaliza Iraq na Afghanistan. Na sasa wanaimaliza libya.
 
baada ya Libya who is next....
 
WALAANIWE NA VIZAZI VYAO VYOTE HAWA WAZUNGU WASHENZI SANA MAMBWA KABISA HATA LILE JIBWA JIKE LINAITWA CLINTON LIANGHUKE NA NDEGE LIFE NA lile jaluo obama life...
 
gadafi kajificha ktk public institution,so NATO will sacrifice any citizen just to kill Gadafi, huyu jamaa anashikillia uchumi wa NATO kwa kubaki madarakani wakati libya ndio taifa lilio na Oil and Gas Reserve kubwa,kule uarabuni gas na petrol inaishia by 2030.
 
NATO wana iwinda kwa udi na uvumba "HUB" ya Televisheni ya Taifa ya Libya waibomomea iliwafiche maovu na Ukatili wao. "Dawa" yao(NATO) iko jikoni.Poleni waafrika wenzangu wa Libya!!!
 
Tujifunze kutoka kwa Mwalimu. Mwalimu alikataa kuwakumbatia mabeberu wa kimarekani. Hawana urafiki hawa. Wanachojua ni maslahi yao tuu. Wako tayari kua na kubomoa nchi yoyote kulinda maslahi yao. Wameshaimaliza Iraq na Afghanistan. Na sasa wanaimaliza libya.
Eeh! bwana wee. Umeisahau Pakistan huko ndiko wamemaliza lakini kule Afghanistan mambo ndio yanarudia yale ya mrusi.
Hawa jamaa kweli hawana urafiki na mtu wala huruma.Kujipeleka Pakistan kama mwenzao kumbe walikuwa wanapiga ndege wawili kwa jiwe moja.Pakistan kwisha kabisa.wananchi hata wakilalamika jamaa hawajali na hawaondoki.Serikali iliyoko madarakani ni ya kwao kama zile za Kuwait na Qatar.
 
Libya nchi tajiri sana hio hawaezi kuicha lazima waichukue. Watu wengi wanashangilia kwa vile hawajaangalia kwa undani zaidi.
 
Ndiyo mmwambie KIKWETE aache kujipendekeza kwa wazungu kila siku ulaya safari hazimwishi kwani hakuna nchi nyingine za kwenda kama CHINA mana juzi tu hapa tumemuona CLITTON.
 
Deadly NATO raid hits Libyan university

Mon Jun 13, 2011 12:49AM
Share | Email | Print
mazimi20110613004025170.jpg
mazimi20110613004030920.jpg

mazimi20110613004025170.jpg
People who were reortedly killed in a NATO strike on Nasser Univresity on Sunday, June 12.
More Libyan civilians have reportedly been killed and injured after a NATO airstrike hit a university in the capital, Tripoli.

New images have emerged showing the aftermath of an alleged NATO air raid targeting Tripoli's Nasser University. The attack reportedly left many university staff and students dead.

Libyan state television says dozens of others were also injured.

The UN Security Council Resolution 1973 has authorized the enforcement of a no-fly zone over Libya to protect civilians against forces loyal to Libyan ruler Muammar Gaddafi.

NATO has carried out many airstrikes in accordance with the UN mandate. However, many civilians have been killed in the attacks.

Meanwhile, clashes between revolutionary forces and Gaddafi loyalists intensified on Sunday.

At least seven people were killed in the town of Dafniya, near the besieged city of Misratah, Khaled Abu Falgha of Misrata's Hekma hospital said.

At least 15 revolutionaries and more than 100 Gaddafi forces were killed in the fighting in the western city of Zawiya, about 50 km (30 miles) from Tripoli, Ahmed al-Hawary, a spokesman for the revolutionary forces said.

MA/MGH

MY TAKE
TUJIFUNZE NDUGU ZANGU WATANZANIA KAMWE TUSIMUALIKE MTU KATIKA NCHI YETU KUTULETEA UHURU, AU DEMOKRASIA, MAUAJI YA RAIA AMBAO NATO WAMESHAFANYA, YAMEZIDI IDADI YA RAIA WALIOFARIKI WAKATI GHADAFI ALIPOANZISHA OPERATION YA KUKOMBOA MJI MMOJA MMOJA KATIKA ILE ILIYOKUWA IMEKALIWA NA WAASI MWEZI FEBRUARY.
Ndiyo tumwambia KIKWETE aache urafiki na hawa watu kila siku safari za ULAYA hazimwishi kwani hakuna nchi zingine za kwenda kama china,juzi tu tumemuona CLITTON hapa TANZANIA,KIKWETE acha urafiki na wamagadharibi
 
Back
Top Bottom