CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
ila huwa mara nyingi wanaongeza mda
mara nyingi inakuaga hivyo kwa sabab kuna nyuo vinakuwa havijapata wa wanafunz wakutosha eg.vyuo binafsiUsiishi kwa mazoea...' Elewa mitaa usikalili... 'Yupo anko magu sahiv.
Tukumbushane jamani. Deadline inakaribia ya kufunga CAS -NACTE. Deadline ni 31ST MAY, 2016.
TUFANYE MAREKEBISHO YA MWISHO.
Mwenye taarifa za kusaidia waliiomba katika lala salama hii tufahamishane!
Nadhani vyuo ulivyovitaja haviko NACTE kama sikosei. Universities are not technical education colleges in the NACTE sense. I stand to be corrected!WADAU NAOMBENI MSAADA KWA SABABU NACTE WAMEWEKA VYUO VICHACHE NA VYUO NAVOTAKA KUAPPLY HAVIJAWEKWA KAMA DIT , UDOM, RUCO UDSM, SUA ETC NA DEADLINE INAKARIBIA KWANI SIWEZI KUSUBIRI TCU NIACHANE NA HAO NACTE?
Nadhani vyuo ulivyovitaja haviko NACTE kama sikosei. Universities are not technical education colleges in the NACTE sense. I stand to be corrected!
Unataka kuomba chuo gani na faculty ganisasa ni vipi kama chuo nachotaka hakija wekwa NACTE maana hata mimi sielewi nina diploma nataka kujiendeleza lakini chuo nachokitaka sikioni sasa sijui chochote
Wenye diploma wanatakiwa kuomba kupitia TCU deadline ni trh 31/5
Hahahaha1 haya buana ila mdg wng amemalza diploma mwaka jana ameomba kupitia na wala sio vyuo vya ufundiSijui unafanya haya kwa kutokujua au ni nini, what a BIG lie and misleading statement. Nasisitiza, hakuna MTU YEYOTE MWENYE DIPLOMA atakayeomba chuo kupitia TCU. Wote wataomba kupitia NACTE. Hiyo tarehe 31 may ni deadline ya wenye diploma wanaotaka kusoma kwenye vyuo vya ufundi vinavyotoa kozi mbalimbali ngazi ya digrii, mfano DIT, MUST na ATC.
SAWA NDUGU KWA HIYO WENYE DIPLOMA WATARUHUSIWA KUOMBA TCU?