Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 632
Haya kwa wapenzi wa soka ndio hivyo zimebaki dakika 20 kabla dirisha halijafungwa kwa haraka haraka,
Robinho kutoka Manchester City kwenda AC Milan kwa 15M Euros
Asamoah Gyan kutoka Rennes kwenda Sunderland kwa 16M Euros amesaini mkataba wa miaka minne.
Armand Traore (Arsenal) anaelekea Juventus
Tom Cleverley (Manchester United) amekwenda Wigan kwa mkopo.
Paul Konchesky (Fulham) anaeleka Liverpool
Emiliano Insua (Liverpool) kaenda Galatasaray kwa mkopo
Wakati huo huo Babel amekanusha kuwa anaondoka Liverpool nadhani deal ya Carlton Cole nayo haitaenda through.