DDS_doctor of dental surgery

DDS_doctor of dental surgery

Kwanza uwezi kubadiri usijidanganye umechaguliwa DD sababu marks zako hazitoshi kwenda Md
We nawe inaropokwa tuu haya tuambie hizo marks unazomwambia mwenzako hazijatosha alitakiwa awe nazo zili ili achaguliwe md na zipi ili apate dds.ujuaji mwingii.....
 
Unaweza kubadili kama ukiwah chuoni mapema nakuandika transfer Lakin tatizo ya hiyo cource haina Ela kivile mana ukishamngoa mtu jino au kuziba hawez Kuja na Kesho kungoa ila md mishe mishe ya Ela ipo ming jaribu kubadili sa iv mapema kama utafanikiwa
Wewe unajua kungo'a tuu ungejua kuna procedure za pesa kibao kwenye meno...kuna kufunga waya taya ili kurudisha meno yaliyoota vbaya kukaa mahala pake ,kuna scalling +polishing,kuna rct hz baadhi tuu
 
Wewe unajua kungo'a tuu ungejua kuna procedure za pesa kibao kwenye meno...kuna kufunga waya taya ili kurudisha meno yaliyoota vbaya kukaa mahala pake ,kuna scalling +polishing,kuna rct hz baadhi tuu

Ume extend vizuri lakn core function ni ile ile
 
We komaa kufunga mawaya taya na nn ila kungoa meno cjui kuziba na mawaya Ata clinical officer anafanya, na huwez mfananisha dds na doctor of Medicine Ata katika soko la ajira md ajira zao ziko vizur
 
We komaa kufunga mawaya taya na nn ila kungoa meno cjui kuziba na mawaya Ata clinical officer anafanya, na huwez mfananisha dds na doctor of Medicine Ata katika soko la ajira md ajira zao ziko vizur

mwache akomae na waya ......kufunga waya eti anasema ndo kazi kubwa
 
Md vs dd duh iyo kozi ya dd unaipata bira tatizo ila kuamia md kutoka dd ni sawa na kwenda zanzibar na dala dala
 
Md vs dd duh iyo kozi ya dd unaipata bira tatizo ila kuamia md kutoka dd ni sawa na kwenda zanzibar na dala dala
Kama points anazo ninaimani anaweza kuhamia hata ikitokea kwa hapo muhas ikawa ngumu ila vyuo vingine inawezekana.
 
Haujajua matokeo yake so usimjudge ,may be ana points zinazotosha MD ila ushindani umemchomoa



Acha kuzingua.Dental surgeon is a full doctor.Anapita department nyingi sana kwenye rotation,intenal medicine,gyne,surgery,obs etc etc

Muhimbili University kwa level ya degree
DDS hawafanyi obs and gyn...ila wanafanya junior rotation ya surgery na internal medicine just to equip themselves with the basics. Hawaendi mpaka kwenye management ambayo sisi MDs tunaendelea nayo tukifanya seniour rotations.

They need basic surgery kwasababu nao pia wanaoperate kinywa that is the essence ya wao kufanya hio junior rotation ya surgery...

Na pia wanafanya basic internal medicine kwasababu kuna baadhi ya magonjwa ya ndani yako related na magonjwa ya kinywa so lazima wayajue...kwa mfano; infective endorcaditis (ni tatizo la moyo lakini mara nyingi hurelate na kinywa, kwa lugha rahisi)....Natumaini utakua umeelewa
 
Ila ninavyojua dentist nje ya nchi analipwa vizuri sana kuliko MD ambaye hana speciality.
 
MD na DDS Ni tofauti kabisa wala tusipeane moyo,DDS awezi fanya ambayo MD anafanya but MD anaweza fanya ambayo DDS anafanya japo kwa uchache so MD Ni mama na DDS mjomba.
 
Naona watu wanajibu unazi badala ya kuweka mambo bayana. End of the day unatakiwa ujivunie ujuzi wako na wala si kushindana nani bora kuliko mwenzie. Mnajibu kwa mihemko kweli kweli
 
MD ndio mpango mzima kaka hao walioenda DDS ukiwauliza wengi wamekosa MD na wanaipenda MD ila hawana jinsi watafanyaje
 
Vijana wengi wa kibongo tunasoma kozi bila kutafakari mbele kukoje au bila kuzifahamu vizuri kozi tunazotaka kusizoma.
So far aliyeomba ushauri hajasaidiwa, ninachokiona ni vita ya kimaneno ya MD vs DDS.
Angalizo tu, hakuna mtaalam yeyote ya Afya ambaye anajitosheleza kila kitu, wataalam wote wa afya wanatekeleza majukumu yao kwa kutegemeana. Huo ni mgawanyo wa kazi tu.
Prospectus nyingi pia zimeweka cut off points sawa za MD, DDS na kozi nyinginezo.
You guys finish up courses zenu mnazo somea then mje kitaa tuchape kazi.
 
Back
Top Bottom