DDS_doctor of dental surgery

DDS_doctor of dental surgery

Habari wanajf,hii course Niliichagua consciously bt ningependa msaada wenu,je iko poa au siyo,,nilitaka nikabadili nichikue MD nikienda chuo_muhas

Iko poa.Inatolewa na chuo kimoja tu bongo.Mshahara kama MD.Part time za kutosha mtaani
 
Kwanza uwezi kubadiri usijidanganye umechaguliwa DD sababu marks zako hazitoshi kwenda Md
 
ukimaliza hapo unakua Dr wa meno,unangoa jino,kuziba na na matatizo mengine yanayotokea kwenye kinywa
 
Ajira ipo na mshahara kama MD tu but tatizo iyo kozi imejibana sana Ni kinywa tu uwezi tibu tatizo jengine tofauti na kinywa
 
Kwanza uwezi kubadiri usijidanganye umechaguliwa DD sababu marks zako hazitoshi kwenda Md
Haujajua matokeo yake so usimjudge ,may be ana points zinazotosha MD ila ushindani umemchomoa
uwezi badili dogo iyo kozi marks zake Ni ndogo tofauti na MD dogo

Ajira ipo na mshahara kama MD tu but tatizo iyo kozi imejibana sana Ni kinywa tu uwezi tibu tatizo jengine tofauti na kinywa
Acha kuzingua.Dental surgeon is a full doctor.Anapita department nyingi sana kwenye rotation,intenal medicine,gyne,surgery,obs etc etc
Chuo gani mkuu?
Muhimbili University kwa level ya degree
 
tatizo lake hii DDS inahusika na meno tu ......kimtaa kuna washikaji wanapiga hizi kazi za meno .....DDS ni nzuri lakn MD ni nzuri zaidi.....
 
wewe Acha kuongopea watu DDS anasoma kama MD kuanzia mwaka wa kwanza na wapili wakianza clinical wanaachana DDS anabaki kwenye fani yake na MD kwake hapo ndipo wanapoachana sasa kama umeambiwa DDS full Dr wamrkudanganya,Ni Dr ila sio kama MD wanatofuti kubwa
 
wakifika clinical DDS anafanya yayomuhusu tu kwenye kozi yake,karibu muhimbili kijana tukuelekeze tofauti zaidi,ndio maana wanaitwa madaktari wa kinywa na meno
 
Unaweza kubadili kama ukiwah chuoni mapema nakuandika transfer Lakin tatizo ya hiyo cource haina Ela kivile mana ukishamngoa mtu jino au kuziba hawez Kuja na Kesho kungoa ila md mishe mishe ya Ela ipo ming jaribu kubadili sa iv mapema kama utafanikiwa
 
wakifika clinical DDS anafanya yayomuhusu tu kwenye kozi yake,karibu muhimbili kijana tukuelekeze tofauti zaidi,ndio maana wanaitwa madaktari wa kinywa na meno

Kwanini DDS anafanya rotation Internal medicine?
wewe Acha kuongopea watu DDS anasoma kama MD kuanzia mwaka wa kwanza na wapili wakianza clinical wanaachana DDS anabaki kwenye fani yake na MD kwake hapo ndipo wanapoachana sasa kama umeambiwa DDS full Dr wamrkudanganya,Ni Dr ila sio kama MD wanatofuti kubwa
 
Haujajua matokeo yake so usimjudge ,may be ana points zinazotosha MD ila ushindani umemchomoa

Acha kuzingua.Dental surgeon is a full doctor.Anapita department nyingi sana kwenye rotation,intenal medicine,gyne,surgery,obs etc etc

Muhimbili University kwa level ya degree
IMTU hawatoi siku hizi au?
 
Kwanini DDS anafanya rotation Internal medicine?
umekomaa na rotation lakn amini nakuambia DDS huwezi kuifananisha na MD ....tatizo la DDS hata mwenye diploma yake anafanya kazi kama za DDS .... kung'oa jino tu na mambo ya kinywa .....ukifikiria zaidi siku hiz kuna dawa za mitishamba za kutibu meno bila kung'oa .......in fact DDS is better ..MD is the best
 
Nimekupuuza
 
Back
Top Bottom