DDR2 RAM how much dd they sales


B

Baba advent

Member
Joined
Nov 23, 2011
Messages
70
Points
95
B

Baba advent

Member
Joined Nov 23, 2011
70 95
Naomba kusaidiwa bei ya device hiyo maana pc yangu inazingua, niliyokuwa nayo ni 1GB.
 
MWAMUNU

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Messages
661
Points
195
MWAMUNU

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2011
661 195
DDR2 zipo za desktop pia zipo za laptop yako ni ipi hebu funguka !!
 
JuaKali

JuaKali

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
783
Points
195
JuaKali

JuaKali

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
783 195
Bei ya DDR2 zipo tofauti kutokana na pin zake, hivyo basi njia sahihi ni kuingia hapa www.memoryten.com harafu ingiza specifications za computer yako utapata bei zake.
 

Forum statistics

Threads 1,283,529
Members 493,720
Posts 30,793,006
Top