DDC & Big Bon Kariakoo

DDC & Big Bon Kariakoo

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
975
Reaction score
1,356
Habari wana JF.

Wafanya biashara wote na wale mnaotarajia kuanza biashara majengo haya ya DDC na BIG BON Kariakoo yamekamilika.

Hapo unaweza kufanya biashara ya viatu, biashara ya miamala wakala wa mitandao ya simu na Bank, ukauza nguo za watoto za wakubwa, ukauza vinywaji, ukauza jezi, ukauza vifaa vya michezo, ukauza nguo za ndani, wale wauza vyakula mkaja kupata wateja wapya hapo Waku order chakula asubuhi + mchana, uwakala wa CRDB, NMB, NBC n.k, ukauza pochi/mikoba, ukauza urembo, ukauza saa, ukauza jeans na top tu za wadada, ukauza cadet na jeans za kiume na biashara nyingine nyingi zinazo ruhusiwa hapa .

" YOU WIN WE WIN ".
 
Mkuu kwa mtu anayetaka kufanya biashara ya vifaa vya ujenzi, frame ya 300k -500k atapata?
 
Back
Top Bottom