Damu isiyo na hatia imeanza kuwalilia na hapo bado tunamsubiri lissu mwenyewe siku ambayo ataongea na waandishi wa habari hapo ndipo mkulu atatamani ardhi ipasuke ajifiche...ikulu siku hiyo itakuwa chungu
Ni miongoni mwa magazeti yanayosomwa na watu ambao huvizia matukio ya watu fulani!Ni kama chombo cha kupigia mstari maneno ya watu wanaojiona watukufu!Si hilo tu kuna Habari Leo,Dairly News,Hoja,Tazama ongeza na Radio Uhuru,TBC,nk.
Ni heri uyaelewe yakupe upenyo wa kutubu na kuzijutia dhambi zako. Itakusaidia hata wakati roho yako inatengana na mwili, Mwili wala hautakuwa na hofu kiasi cha kuhangaika kwa kutupa mateke kurusha mikono, kusaga meno, kujigongagonga kichwa, kunya!