Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,649
- 164,808
Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la diku ya leo tarehe 12/09/2017.
Pia amtaka Lissu aeleze ukweli aache kuingiza siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)
Chanzo:Uhuru
Mbona hawa watu wanakuwa wajinga? Mtu kaumizwa bado mnastick kaigiza...shame on u!Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la diku ya leo tarehe 12/09/2017.
Pia amtaka Lissu aeleze ukweli aache kuingiza siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)
Chanzo:Uhuru
Kwani huo ukweli anaotakiwa kuueleza Lissu wao wanaujua?Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la diku ya leo tarehe 12/09/2017.
Pia amtaka Lissu aeleze ukweli aache kuingiza siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)
Chanzo:Uhuru
DCI akimchoka Mange inatusaidia nini? Lissu aeleze ukweli upi?Hii ni habari katika gazeti la Uhuru la siku ya leo tarehe 12/09/2017.
Pia amtaka Lissu aeleze ukweli aache kuingiza siasa(ni katika habari hiyo inayomuhusu Mange)
Chanzo: Uhuru
Anamaanisha,sasa basi!DCI akimchoka Mange inatusaidia nini? Lissu aeleze ukweli upi?
Mnazitumainia sana bunduki eeh?Huyo binti.....shauliye!
Huyo ni msaliti km wasaliti wengine.Dawa ya msaliti duniani kote-ni moja tu!Hivi ninyi mnaomtetea Mange mna akili kweli? Mangi hana hoja zaidi ya matusi. Hawezi kupanga hoja bila matusi. Nitafurahi sana siku akiwekwa mikononi mwa vyombo vya usalama.
Aeleze ukweli wakati wanakua yuko mahututi? Je wameshamfata lisu kumchukua maelezo?DCI akimchoka Mange inatusaidia nini? Lissu aeleze ukweli upi?
Duhhh kweli polisi! MTU bado yuko ICU wameanza kutoa matamko!! Mbona wanajihami ? Wasiojulikana wako wapi ?
Umechanganya madesa!Wataenda na bombardier
Tuipende nchi yetu Tanzania.