DC Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu matatani kwa kumpigia kampeni mgombea wa CCM

Atakijuaje hicho kifungh cha sheria wakati yeye sio mwanasheria? Yeye anajuwa hivyo kutokana na katazo lililokuwa limetolewa na viongozinwa tume ya uchaguzi. Kama kila mmoja anajuwa sheria, wewe kwanini hujui kuwa shehe au padri ana haki ya kumpigia kampeni mumini wake!!!!?

No research no right to speak

Kama huna valid reference ya kuzuiwa DC kwenye Kampeni Basi hizo ni blaa blaa za Kisiasa
 
Kumbe Wewe ni Mbulula sana kwenye Sheria

Sheria huwa ina mention wanaozuiwa Hawa mention wanaoruhusiwa kwa kuwa ni wote kasoro waliotajwa kuzuiwa

Nadhan Sasa umejiridhisha kuwa Hakuna kipengele kinachokataza ndio sababu huna reference
Hili janahabari fake litakuchosha tu, kichwani jeupe, linataka thread i trend
 
Sheria huwa ina mention wanaozuiwa Hawa mention wanaoruhusiwa kwa kuwa ni wote kasoro waliotajwa kuzuiwa
Kumbe kwa mantiki yako hii, kwa kuwa hakuna sheria ama muongozo unaozuia viongozi wa dini kuwapigia Kampeni waumini wao, basi si kosa kwa viongozi wa dini kushabikia chama fulani cha siasa na kukipigia Kampeni.
 
No research no right to speak

Kama huna valid reference ya kuzuiwa DC kwenye Kampeni Basi hizo ni blaa blaa za Kisiasa
naomba hivyo vifungu vya sheria mimi ni mwanahabari mwandishi naona wewe unauwelewa wa sheria nisaidie hivyo vifungu
 
tuliuliza hao viongozi,wakuu wa wilaya wakurugenzi wameacha sasa kuingilia uchaguzi,mkasema ooh sijui NEC imetoa kalipio kwahiyo hawatafanya tena,sasa leo kiko wapii??hiyo kamati ya maadili itafanya nini kama mpaka sasa mrejesho wa Makonda na vyeti vyake tuu imeshindikana...
 
Kumbe kwa mantiki yako hii, kwa kuwa hakuna sheria ama muongozo unaozuia viongozi wa dini kuwapigia Kampeni waumini wao, basi si kosa kwa viongozi wa dini kushabikia chama fulani cha siasa na kukipigia Kampeni.

Ndio si kosa na Hakuna alieshtakiwa kwa kosa Hilo

1995-2000 Askof Kakobe alikuwa anazunguka na Mrema
2015 Askof Gwajima alikuwa anazunguka na Lowassa

Uliskia walikamatwa kwa kosa Hilo?

Acha kumkampenia hata wao kuingia kwenye Siasa wakiwa na vyeo vyao pia wanaruhusiwa

Unamkumbuka Mchungaji Kamara, tuna Peter Msigwa, tunae Mchungaji wa Karatu
Tunae Mchungaji Getrude Lwakatare
Umeelewa?
 
DC ni kada wa CHama cha Mapinduzi hamuwezi kumfanya lolote nyie Gazeti la Mwananchi. Si kitu cha ajabu DC kumfanyia kampeni mgombea wa chama cha Mapinduzi
 
Hakuna kosa DC kumpigia Kampeni Mgombea wa Uchaguzi cha Msingi asitumie Mamlaka yake kumnufaisha Mgombea Fulani

Uchaguzi wa Liberia Rais Sirleaf alikuwa anamsaidia Mpinzani wake wa Zamani George weah japo wanatoka Vyama tofauti na lilikuwa kosa Kisiasa sio kisheria
Kama Mrema alivyompigia kampeni Magufuli!
 
Asiyejua kuwa hawa waheshimiwa huwa wanawapigia kampeni na kuwasaidia wagombea wa chama fulani ana matatizo makubwa ya uelewa.
Lakini ni kinyume cha sheria. Serikali ndiyo inayoandaa uchaguzi, ni juu ya serikali kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na wa haki kinyume chake ni chanzo cha vurugu na fujo.
 
Huu ni upuuzi tu 2015 Mh Jakaya kikwete alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na alishi kumpigia kampeni mgombea wa ccm mbona hamkulalamika?
Frederick Sumaye ni Waziri Mkuu Mstaafu na Edward Lowassa mbona wanashiriki kampeni za chadema? Wanatumia magari ya serikali, walinzi wa Serikali na madereva wa Serikali.
Ikiwa kwenu sawa ila kwa wengine nongwa.
Huyo mhariri anapaswa kuhojiwa wapi kifungu cha sheria ambacho kinamzuia Mkuu wa Wilaya au mkoa au waziri kutompigia kampeni mgombea wa chama chake?
 
Jibu maswali acha kucheza na maneno kwa kuendekeza ubishani usio na tija.

Mimi ndio nimeuliza reference au Sheria inayokataza DC kumkampeni Mgombea, thread inaruka pages kadhaa jibu sijapata
Kama unataka kuwasaidia iweke hapa tufunge Mjadala!
 
Mimi ndio nimeuliza reference au Sheria inayokataza DC kumkampeni Mgombea, thread inaruka pages kadhaa jibu sijapata
Kama unataka kuwasaidia iweke hapa tufunge Mjadala!

Mimi sio mwanasheria ila nina uelewa wa wastani hivyo ninaelewa vizuri wanasheria wakikata vifungu vya sheria. Hapo kwako sioni vifungu naona mifano na lugha za kebehi tu.
 
Back
Top Bottom