barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Mzee wa "Mapicha",Mkuu wa Wilaya ya Iringa Kasesela,ameamua kumlipa JK kwa pozi la kwenye sofa.
Siku mbili hizi katika mitandao ya kijamii,kulienea picha ya Rais Mstaafu JK akiwa amepozi kwenye sofa huku anaperuzi na kudadisi kilongalonga chake.
Kasesela akaona isiwe tabu,ngoja na yeye alipe pozi la swahiba wake JK ili waende sambamba.
Pichani ni JK na Kasesela katika picha yenye mfanano wa mapozi,na picha nyingine ni Kasesela na JK,wakati huo JK akizunguka mikoani kuomba uungwaji mkono na wana CCM kugombea urais.
JK na Kasesela nao si kwamba walikutana barabarani....