DC wa Iramba ajitumbua mwenyewe

Ameona kwa utawala huu propaganda za kisiasa hazipo, kilichopo ni kufanya kazi kwa vitendo na si kukaa ofisini tena. Ni bora ameliona hilo na kujiondoa mwenyewe.
 
Faiza fox mwaka jana alipiga kelele kweli kutetea ccm, nafikiri aliahidiwa ki post flani ila sasa ameona hata dalili za japo U DC hamna kabisa! Pole mama ni wengi waliahidiwa hasa na Riz Moko ila kwa Makufuli wamedunda 'kumwombea' watu kama ilivyozoeleka!
 
Jamani nafasi bado zipo, msiwakatishe tamaa watu. Wilaya zote za Tanzania hii watakosa kweli?
 
umekuwa mpole mno mamaangu @faizafox
Wewe mtwa mkulu, mbona umepost maneno yangu aisee? Yaani nilimuuliza huyu mama mkwe wangu faizafoxy umetoka ICU au kuna mtu anamjibia?
 
Haha hivi mkuu wa wilaya ni mtumishi wa umma?
 
ameamua kujihami mapema maana hawa ndio walikuwa wanaacha maswali juu ya teuzi zao

Huyu Lucy Mayenga alipokuwa mbunge na DC enzi ya Kikwete biashara zake zilikuwa zinakwenda vizuri lakini alipoingia Magufuli ndio biashara zake zimeanza kudorola? Ukweli ni kwamba kwa vyovyote vile Magufuli asingemteua kuwa DC hata kama sheria ingeruhusu kwani Magufuli hana hulka ya mkweree; yeye akienda mikoani ni KAZI TU!!!
 
Iramba watatumbuliwa wote, huyo mbunge wao tu ashukuru halmashauri kuu ya juzi kati ndio imemzuia Magu (muzee ya bastola) lakini angesharara nae mberee………!
 
Bibi kahamia upinzani, ana id zaidi ya 33 humu anawatukana makada wenzake na kuwatuhumu wanaunda maporokia.
My take: ukivuliwa nguo hadharani chuchumaa kaa kimya, hakuna namna nyingine tena.
 
Sikuhizi umebadirika sana Mkuu! Mdogo Mdogo umeanza Kuona Nyeupe Ni Nyeupe sio Njano tena!
Hahaa, mama amejichokea, mwacheni apumzike kwa amani. Ana id zaidi ya 20 anatumua kuwatukana makada wenzake humu
 
Usizungumze usichokijua. Chimba mambo kwanza ndio uandike. UDC ni cheo cha siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…