Dc wa Igunga ni hazina ya Taifa

Mti majungu

Member
May 19, 2015
56
79
Dc wa igunga John Mwaipopo ni hazina toka mbinguni tusije kushangaa akipanda cheo

Katika kuyapatanisha makabila ya wataturu na wasukuma baada ya mapigano baina yao. Tuliwekena agano vita za namna hiyo visifanyike tena. Tukishapatana tunakula nyama kama ishara ya kusameheana

In the course of mediating the wataturu and the wasukuma following fierce fights against each tribe. A covenant was reached that there should be no more fights in the future. Meat is a symbol that culminates mediation and firgiveness among the two tribes.
95436cd28c907e3ce4fe92588bc0c249.jpg
 
Akipanda cheo watu wasishangae
 
Sasa hawa si watu wa kuwapa promo mitandaoni mosi ni watumia mitandoa wengi si watu wanaopenda siasa za vitendo (wengi tunapenda vijembe na siasa zile uchwara uchwara ) pili YY kuvimba kichwa na kuanza kulitia maji tembo
 
"Hazina kutoka mbinguni"!!!!?????? haya dereva kakusikia utakuwa mkuu wa mkoa Tabora
 
Back
Top Bottom