Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 473
- 297
Nina Dc to Dc laptop power adapter ambayo inaweza kutumika kwenye umeme wa Gari au Solar(kuanzia 11v had 14v) kwa ajili ya kuchajia laptop,i naweza kutumika kwenye aina 8 tofauti za laptop kulingana na aina ya port ya kuchomeka Chaja kwenye laptop,ni mpya sijawahi kuitumia..nataka 30,000Tsh.
0714 214406
0714 214406