weka chanzo cha habari.ila kama ni kweli haitakuwa mara ya kwanza kwani hata mnadhimu mkuu wa majeshi SAMWEL NDOMBA naye alishakuwa mkuu wa mkoa na kurudishwa jeshini na kupandishwa vyeo haraka haraka.KUNA NAFASI INAACHWA WAZI ANAENDA KUZIBA
Sorce plz?
Mkuu wa wilaya Simanjiro Brigedia Jenerali Cosmas Kayombo amerudishwa makao makuu ya Jeshi la Wananchi kuendelea na kazi yake na kuiacha nafasi hiyo ya mkuu wa Wawilaya.
Chanzo: gazeti la mwananchi la agosti 2
CC Ritz,H-D na wote CCM wenzangu.
Mimi ni mwanachama wa CCM ila Tanzania kwanza vyama baadae.
"Vox populi,Vox dei"
Sorce plz?
ni rais wako na wafuasi wenzako wa ccm ,unadhani vita ni maziwa.Maandalizi ya mwisho mwisho kulitandika lile dikteta la ukanda wa maziwa makuu ndio yanakamilika hivyo. Connect dots na hotuba ya Rais kwa Taifa leo kuhusu kauli za dikteta dhidi ya Tanzania na Rais wetu.
Jibu analo Jaji Warioba, subirini atakavyowafanya hawa CCM, hata wafanyeje, ishakula kwao kwa huyu mzee.
Halafu mtu mwenye cheo cha Brigedia na ukuu wa wilaya wapi na wapi? Hizi njaa hakika ni majanga.
Maandalizi ya mwisho mwisho kulitandika lile dikteta la ukanda wa maziwa makuu ndio yanakamilika hivyo. Connect dots na hotuba ya Rais kwa Taifa leo kuhusu kauli za dikteta dhidi ya Tanzania na Rais wetu.
Halafu mtu mwenye cheo cha Brigedia na ukuu wa wilaya wapi na wapi? Hizi njaa hakika ni majanga.
Ni ukweli kuwa huwezi kumwacha Brig. General anahangaika na uongozi wa kiraia wilayani wakati anahitajika Ngome ili kwenda kumng'oa Kagame...!
Gazeti la mwananchi la leo ijumaa tr 2 agost 2013,ukarasa wa saba, juu kushoto
Mkuu wa wilaya Simanjiro Brigedia Jenerali Cosmas Kayombo amerudishwa makao makuu ya Jeshi la Wananchi kuendelea na kazi yake na kuiacha nafasi hiyo ya mkuu wa Wawilaya.
Maswali najiuliza..
Alipokuwa mkuu wa wilaya alikua anaingia katika vikao vya CCM kwa nafasi yake,sijui na kadi alishapewa,wanajeshi na maaskari awaruhisiwi kuwa wanachama, sasa itakuaje kwa huyu bwana katika utendaji wake?
Chanzo: gazeti la mwananchi la agosti 2
CC Ritz,H-D na wote CCM wenzangu.
Mimi ni mwanachama wa CCM ila Tanzania kwanza vyama baadae.
"Vox populi,Vox dei"
ni rais wako na wafuasi wenzako wa ccm ,unadhani vita ni maziwa.