Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka ameahidi kupitia ofisi yake kumsomesha kijana Inocent Mkuchu (mfugaji) ambaye ameacha chuo kwa kukosa ada na kukimbilia mafunzo ya Jeshi la Akiba( Mgambo)
Dc Shaka ameyasema hayo wakati akifunga mafunzo hayo Mjini Kilosa ambapo amesema baada ya kupata taarifa hizo ofisi ya mkuu wa Wilaya itagharamia gharama ili aweze kurudi chuo kutimiza ndoto zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.