Well said👏🏽Sisi tulienda shule peku, hawo wanaona plastic sio sare, shida yote ni elimu bure, walikua wapigaji, sasa hamna kitu wanahaha, mikopo bank, Saccoss na Micro-finance hasira zote anabebeshwa mwanafunzi..........
Sisi tulienda shule peku, hawo wanaona plastic sio sare, shida yote ni elimu bure, walikua wapigaji, sasa hamna kitu wanahaha, mikopo bank, Saccoss na Micro-finance hasira zote anabebeshwa mwanafunzi..........
Wewe hujielewi kabisa aliekwambia ili uwe mwalimu lazima uwe umefeli darasani nani kakudanganya????.......Ili uwe mwalimu lazima uwe umefeli masomo darasani. Sasa nashauri walimu wasilipwe mishahara na wawe wanachapwa na madiwani au watendaji wa vijiji
Mahakama sio mama yako Ikupe chakula pale wanapohisi una njaa, kama haki ya dhamana imekiukwa inabidi kesi ifunguliwe yakudemand polisi wawapeleke mahakamani ASAP!Swala sio kwenda peku shule,au elimu bure,swali la msingi ni kwamba huyo mkuu wa wilaya aliye mbumbumbu wa sheria,na mbumbumbu wa fikra,ana mamlaka ya kumuweka raia yeyote yule "lock up" kwa wiki nzima bila dhamana wala kumfikisha mahakamani?
Hao ndo wakuu wa wilaya wanazaliwa kupitia nyuchi chafu za mama zao!
Shenzi type!
Wakati huo na wewe umefundishwa na nani hadi ukajua kusoma na kuandika hiki ulicho andika? Kweli umeonesha uwezo mdogo sana wa kufikiriIli uwe mwalimu lazima uwe umefeli masomo darasani. Sasa nashauri walimu wasilipwe mishahara na wawe wanachapwa na madiwani au watendaji wa vijiji