wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 491
- 763
Kwa kweli kwa siku ya leo nimefurahi sanaaa kwa kitendo kilichofanywa na Rais wetu mpendwa Daktari Jpm kwa kumteua Daktari Mahera kuwa mkurugenzi mpya wa tume ya taifa ya uchaguzi.
Kama mtakavyo kumbuka miaka ya hivi karibuni Mkuu wa wilaya ya arumeru DC muro alimfokea hadharani Dk mahera kisa kachelewa kwenye msafara wa DC muro ,cha kushangaza alifokewa mbele ya mkuu wa mkoa, kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa na wilaya. Licha ya Dk mahera kujitetea kuwa usafiri ulipata itilafu DC muro aliendelea kumwambia kuwa mkurugenzi usicheke acha dharau bila kujua dk kimaumbile ndivyo alivyouumbwa.
Kwa tukio la leo lililofanywa na Rais ni fundisho tosha kwetu wanasiasa na hata tusio wanasiasa .
Hivyo, DC muro unapaswa uwende ukamuombe msamaha dk mahera kwani ni boss mkubwa sasa.