DC Muro matatani kwa deni la miaka mitatu

Nimejibu kitu ambacho nina uzoofu nacho; mahakama ya wilaya (Resident Magistrate) haiwezi kupokea hiyo kesi; labda mahakama ya Mwanzo
 
Angemwachia tu,mkuu wa wilaya ni mtu mzito sana,anaweza kumfanya chochote,wakati wowote...
 
Yaani huyu alikua Hana tiivii flat skrin Hadi alipokopa. Ukiwaona kwenye STK utadhani Ni watu wa maana. Kumbe... Si ajabu na kule TARA na BRANCH anadaiwa.
 
Angemwachia tu,mkuu wa wilaya ni mtu mzito sana,anaweza kumfanya chochote,wakati wowote...
Hana ubavu huo na akileta za kuleta mkulu akisikia hata huo ukuu wa wilaya atausikia kwenye redio. Makonda ametemwa itakua Muro?
Acha aendelee kujiharibia na ajue DSO Ana hizo taarifa
 
Hiyo pesa ni kidogo sana kwa muro kushindwa kulipa. Hao wafanyabiashara Wameamua tu kumchafua
 
Na akifikishwa mahakamani itakuwa ni kesi ya uhujumu uchumi maana amesababisha mfanyabiashara kuchelewa kulipa kodi hivyo kuliingizia hasara taifa
 
Nimejibu kitu ambacho nina uzoofu nacho; mahakama ya wilaya (Resident Magistrate) haiwezi kupokea hiyo kesi; labda mahakama ya Mwanzo
Unafahamu Manji alikuwa anamdai Mengi shilling moja mahakamani!
 
Mwakilishi wa Mhe. Rais anatakiwa kuwa mwadilifu na weledi usiobishaniwa. Taarifa zitakuwa zimemfikia Mhe. Rais na huyo jamaa haki yake ni kutopewa nafasi tena ya uDC awamu ijayo.
 
Hiyo pesa ni kidogo sana kwa muro kushindwa kulipa. Hao wafanyabiashara Wameamua tu kumchafua
MBONA HALIPI?????
MTU AKISHINDWA KULIPA SISI WA PEMBENI TUNAJUA HANA UWEZO WA KULIPA.
SAWA BAEBY
 
Aende kukopa kwa Haji Manara alipe hilo deni!
 
Bora Mo alichomoa mkopo wa boda boda kwa Hamisa!
Pengine angeishia kulipwa mia tano tu!
 
Jamaa naye anaisoma namba kimya kimya.Ukimkuta kwenye ndinga ya serikali alivyo na mbwembwe huwezi kujua nyumbani anatizama Tv ya mkopo aliyoshindwa kulipia.Awamu ya 5 na viongozi wake.
 
Unafahamu Manji alikuwa anamdai Mengi shilling moja mahakamani!
Shilling moja haikuwa DENI bali ni FIDIA. Hapa linazungumziwa deni la TZS 1,050,000 la TV. Mahakama haiwezi kuandikisha kesi ya kiasi hicho
 
Anataka vitu vizuri na pesa hana anataka nani amlipie?
Aseme kama anataka kulipiwa nimlipie.?!((
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…