#COVID19 DC Moshi ataka watumishi wa Serikali wasiopata chanjo wajieleze kwanini hawajachoma chanjo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,017
9,885
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Said Mtanda ametoa maagizo kwa watendaji wa Serikali kuhakikisha 60% ya watumishi wake wamechanja chanjo ya COVID-19 na wasiyo chanja waeleze sababu kwani kuchanja ni hiyari lakini yenye ulazima ndani yake.

"Tunataka kujua idadi ya watumishi wa serikali wasiyo chanja,haya ni maagizo ya serikali,mtumishi wa afya ambaye haja chanja anawezaje kumpokea mgonjwa aliye chanja? unaweza kuwa sehemu ya kuambukiza wengine,wakuu wa idara mjitathimini ushiriki katika zoezi hili"Mtanda DC Moshi.

"Kwasasa Serikali imetoa dozi mpya aina ya Sinopharm ambapo kwa Manispaa ya Moshi imepata dozi elfu 4,770 na Moshi Vijijini wamepatiwa dozi zaidi ya elfu 5,000 hivyo kwa sasa kamati ya afya ya msingi,tunaweka mpango wa pili wa kutoa dozi mpya ya Sinopharm"Said Mtanda DC Moshi.

Chanjo ya COVID-19 aina ya Johnson & Johnson katika Manispaa ya Moshi ililenga kuwafikia watu 154,000 ambapo hadi sasa ni 11% ya watu waliopatiwa chanjo hiyo ikiwa Manispaa hiyo ilipokea dozi elfu 18 na mpaka sasa dozi elfu 16 zimeshatolewa na dozi 2000 ilipunguziwa Moshi DC.
 
Dc naona anajitoa akili..hao mabeberu naona waanamkula..rais kasema hiyari yeye anataka lazima..ukute hata yeye hajachanjwa hapo alipo..acheni kutafuta kiki kupitia watumishi wa umma.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi chanjo ya Johnson & Johnson italetwa nyingine au tuendelee kuchoma hii ya wachina tu?
 
Chanjo ni hiari, itafikia muda itakulazimu kuchanja. Kuna watu wamekosa kazi kabisa.
 
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Said Mtanda ametoa maagizo kwa watendaji wa Serikali kuhakikisha 60% ya watumishi wake wamechanja chanjo ya COVID-19 na wasiyo chanja waeleze sababu kwani kuchanja ni hiyari lakini yenye ulazima ndani yake
Dikteta uchwara anashindana na bosi wake !
 
Mkuu wa Wilaya ya Moshi Said Mtanda ametoa maagizo kwa watendaji wa Serikali kuhakikisha 60% ya watumishi wake wamechanja chanjo ya COVID-19 na wasiyo chanja waeleze sababu kwani kuchanja ni hiyari lakini yenye ulazima ndani yake

"Tunataka kujua idadi ya watumishi wa serikali wasiyo chanja,haya ni maagizo ya serikali,mtumishi wa afya ambaye haja chanja anawezaje kumpokea mgonjwa aliye chanja? unaweza kuwa sehemu ya kuambukiza wengine,wakuu wa idara mjitathimini ushiriki katika zoezi hili"Mtanda DC Moshi.

"Kwasasa Serikali imetoa dozi mpya aina ya Sinopharm ambapo kwa Manispaa ya Moshi imepata dozi elfu 4,770 na Moshi Vijijini wamepatiwa dozi zaidi ya elfu 5,000 hivyo kwa sasa kamati ya afya ya msingi,tunaweka mpango wa pili wa kutoa dozi mpya ya Sinopharm"Said Mtanda DC Moshi.

Chanjo ya COVID-19 aina ya Johnson & Johnson katika Manispaa ya Moshi ililenga kuwafikia watu 154,000 ambapo hadi sasa ni 11% ya watu waliopatiwa chanjo hiyo ikiwa Manispaa hiyo ilipokea dozi elfu 18 na mpaka sasa dozi elfu 16 zimeshatolewa na dozi 2000 ilipunguziwa Moshi DC.

72FE481F-A747-469E-8720-95DDD34F5579.jpeg
 
Mtu anakosa kazi siku si nyingi. Masikini, duh!
 
Hawajachanja kwa sababu Chanjo ni Hiyari sio lazima
 
Back
Top Bottom