Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Kwa mara nyingine mkuu wa wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti ameendeleza ubabe na kushindwa kutii amri ya mahakama iliyowapa ushindi wananchi wa kijiji cha kikatiti, kufuatia kesi iliyofunguliwa na wananchi dhidi ya ccm, wakigombea ofisi hiyo.
Hivi karibuni Mnyeti alituma askari polisi wenye silaha kusimamia utekaji wa ofisi hiyo ambapo viongozi wa kijiji walitolewa nje huku ofisi hiyo ikipakwa rangi za chama cha mapinduzi jambo ambalo limezua utata na uongozi wa kijiji unataka rais magufuli awasaidie ili kuepusha umwagaji wa damu kwani wananchi w
anataka kuvamia jengo hilo.