DC Kiteto anusurika kichapo!

DC Kiteto anusurika kichapo!

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Bi. Martha J. Umbulla amenusurika kucharazwa mboko kwenye mkutano wa wananchi wa Kijiji cha Emarti baada ya kuhitilafiana juu ya mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka saba akiwataka wakubaliane na mawazo yake.

Awali lengo la Mkuu wa Wailaya kwa wananchi hao lilikuwa ni kuwataka waondoke kwenye eneo linalodaiwa kuwa ni hifadhi ya Jamii kutokana na amri iliyotolewa na mahakama Kuu.

Hata hivyo uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa kauli zinazotolewa na Serikali kuwa Mahakama iliamuru ni uongo baada ya kubainika kuwa Kesi hiyo badi haijaamuriwa na kwamba tar 13.2.2014 Halmashauri inatakiwa kuungurumisha kesi hiyo dhidi ya wakulima 50 ambao awali walioshitaki kupinga kuvunjia kitongoji chao.
 
Acharazwe tu mboko tumechoka kua na viongozi mizigo wasiokua na busara wala hekima kwao kila kitu kutumia nguvu.
 
Wapigwe tu kwani tumechoka na migogoro ya ardhi
 
Ha ha haaaa kwanza ajue huko hiyo kusikilizwa tu ni heshima na ustaarabu!!!!!

Mpango wa huko akamuulize mama mmoja.huwa anagombea ubunge hapati!!!!!
 
Huyu mkuu wa wilaya yuko upande wafugaji na ninahisi atakua anafadhili mauaji ya wakulima.
 
hii migogoro ya ardhi inahitaji ajenda pana vinginevyo itatufikisha mbali.
 
apigwe tu maana hatuna jinsi na tumechoka. amri ya waziri mkuu itekelezwe
 
Katika hali isiyokuwa ya
kawaida Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Bi. Martha J. Umbulla amenusurika
kucharazwa mboko kwenye mkutano wa wananchi wa Kijiji cha Emarti baada
ya kuhitilafiana juu ya mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka
saba akiwataka wakubaliane na mawazo yake.

Awali lengo la Mkuu wa Wailaya kwa wananchi hao lilikuwa ni kuwataka
waondoke kwenye eneo linalodaiwa kuwa ni hifadhi ya Jamii kutokana na
amri iliyotolewa na mahakama Kuu.

Hata hivyo uchunguzi uliofanywa umebaini kuwa kauli zinazotolewa na
Serikali kuwa Mahakama iliamuru ni uongo baada ya kubainika kuwa Kesi
hiyo badi haijaamuriwa na kwamba tar 13.2.2014 Halmashauri inatakiwa
kuungurumisha kesi hiyo dhidi ya wakulima 50 ambao awali walioshitaki
kupinga kuvunjia kitongoji chao.

makubwa!
 
huyu mama alikua na kazi nzuri, elimu ya kutosha na heshima kubwa tu pale arusha , sijui kilichompeleka kwenye siasa na u-DC ni nini

she is just another waste

sasa hivi hana tofauti kabisa na wale marafiki wa riz-one waliopewa wilaya nchi nzima

kajidhalilisha tu kukubali ukuu wa wilaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom