Elections 2010 DC Igunga ni mkristo mkatoliki; Kwanini hajasema kitu?


Nilisema hapo siku nyuma kuhusiana na kadhia hii kuwa aliyeiroga Nchi hii, bac ndo huyohuyo aliyeturoga waislamu kwa kuwa niliwakumbusha masheik hususan sheik Ponda Issa Ponda ya kwamba mi sijapata kumuona mkuu wa mkoa au wilaya wa tanganika anayevaa hijab hivyo ndugu zanguni katika imaan tusijiingize kwenye mgogoro huu wa kipuuzi kwa kuwa si kweli kwamba huyo dc alivaa hijab! kama yupo nionyeshwe, hawakuelewa, haya leo hapa yametimia. Lakini Babuyao nikutoe shaka kwamba ile point ya bint/mwanamke wa kiislamu akiolewa na asiye muislamu automatically uislamu wake unakoma siku hiyohiyo. Regardless, ni ndoa ya kanisani,bomani au kimila. Hivyo, ikiwa ni proved kuwa mumewe ni mkristo, bac na yeye ci muislamu.
 
tulitegemea. kimario 98% ni wa kristo. Amevaa ijabu kama the way to mitigate risk.na imewek!huoni mashekhe walivokurupuka km wamekosa oxygen katika pango.

Masheikh Ubwabwa hao! Kama itakuwa kweli ni aibu ya mwaka waislam itabidi wawe makini sana na Baraza la waislam Tanzania (BAKWATA)
 

Ndugu yangu nitatoutiana na wewe kwenye RED, UKRISTO hauna alama yoyote zaidi ya moyo na roho yako inavyoamini, Biblia sio alama ya UKRISTO. alama ya UKRISTO ni matendo yampendezayo Mungu.
 
Unajua kuna watu wanavaa hijab kama fashion,au mazoea!
So akili kumkichwa!kama ikigundulika kweli basi CCm watatafuta mtu avae msuli alafu avuliwe na the so called CDM fans ili kuifunika hii ya DC na kuficha aibu
 
Mkuu, si kweli usemayo. Hijjab haithibitishwi kwa kutamkwa na Bakwata bali Qur'an Surat Al Ahzaab ndiyo inabainisha ni lipi hijjab lipi la. Uislamu hautetei uovu hata kama huo uovu ungelifanywa na manabii. Watetezi wa huyu mama hawakutakiwa kuegemea katika uislamu bali ulitakiwa uegemee kama mwanamke yeyote ambaye ana haqi zake katika mavazi egardless dini yake. Lakini kwa kuegemea katika uislamu hata mmi nili-differ from the very first day, kwani sikuamini kuwa huyo mama alilovuliwa ni hijjab.
 
Hata mimi naamini wewe ni Mwislam kwa kuwa hoja yako ni matokeo ya kukariri na si kutafakari,ukimnyang'anya biblia,hapa issue itakuwa unyang'anyi na si udhalilishaji,bible ukiichoma moto wewe mimi naitajua u kichaa tu wala si swala la kutufanya wakristo tuandamane au tuhamaki.neenda mkanunue zote mzichome moto,tutaprint zingine tu,vita yetu si ya mwili na nyama vita yetu ni ya KIROHO zaidi.

BAKWATA Wamechemsha inand out,mosi DC hakuvaa hijab,Bakwata waje na tafsiri ya huijab kwa muujibu wa dini yao.
pili,Hijab inapovaliwa kwenye utendaji wa maovu bado inabaki na hadhi ileile ?
 

Ha ha ha Nguruwe du BAKWATA
 

wataumbuka sana mwaka huu
 

BAKWATA wangetakiwa wamuadhibu Fatma Kimario kwa kuidhalilisha dini ya kiislam maana alikuwa anapanga njama za kula dhulma huku akiwa anavaa kiislam. Huko kuharibu 'sifa nzuri' ya dini ya kiislam. Na walitakiwa wamuonye kuwa wizi ni dhambi. Ni kifungu gani kwenye Kuran kinachoruhusu kuiba tena huku ukiwa umevaa mavazi ya kidini?
 
kumbukeni niliandika kuhusu huyu mama mwanzoni,ni mkristo na nilishangazwa sana kumwona amevaa vile,lakini kuvaa vile sio kosa kwa mkristo,kwa taarifa tulizo nazo alipewa ukuu wa wilaya kwa kazi maalum
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…