Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 899
- 999
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi kesho asb saa 1 atakua kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM kuzungumzia "Uzinduzi wa kampeni ya ujasiriamali Kinondoni" ambapo watu wenye nia ya kufanya ujasiriamali katika Wilaya watapata fursa ya mafunzo ya ujasiriamali bure na baadae kuunganishwa na fursa mbalimbali za mitaji ili waweze kusimama kiuchumi na kuendana na kauli mbiu ya Mh. Rais ya
"Hapa Kazi tu "
Ewe kijana, popote ulipo Kinondoni, tega sikio usikie nini Mkuu wa Wilaya amepanga kwa ajili ya wana Kinondoni. Ujue fursa zilizopo na namna ya kuzifikia kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira. Usikae kijiweni na kupoteza muda wako bure,wakati ni huu..
Twende pamoja na DC Hapi saa 1 asubuhi na Jahazi la Clouds FM.
Jenga uchumi wako,
"Jiajiri usisubiri kuajiriwa"