Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 899
- 999
*DC HAPI AMALIZANA NA WAMACHINGA KWA KUWATENGEA MAENEO RASMI YA BIASHARA*
Wafanya Biashara wadogo wadogo wajulikanao kama machinga wakifanya biashara zao kwa amani kabisa kwenye maeneo ambayo ni rasmi waliyotengewa na mkuu wa wilaya ya kinondoni Mh Hapi.
Mkuu wa Wilaya Ya Kinondoni ametenga maeneo hayo saba kwa ajili ya wamachinga kufanya shughuli zao kwa amani,maeneo hayo ni kituo cha Mwenge, Bunju, viwanja vya Biafra, Meko, Msasani Maguniani na Wazo na kwamba wamachinga watayatumia masoko hayo kwa awamu.
Masoko hayo yatatumika kwa awamu kuanzia jumatatu hadi jumapili, mfano leo litatumika la Kawe, kesho Mwenge hadi wiki inaisha