Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 875
- 960
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Ally Salum Hapi akizindua kampeni ya usafi Sinza. Ungana na Mhe Hapi kuliweka jiji lako katika hali ya usafi kwa kuifanya kampeni hii kuwa endelevu
Pia Mkuu wa Wilaya alishiriki zoezi la upandaji miti huko Sinza kwenye kampeni endelevu ya kuliweka jiji safi
#kuwamstaarabu