Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Msaidie kujibu ili mambo yaende.Halafu wewe mbona huwa hujibu comments?
Kutoka veta hadi njia panda ya taifa, wanajenga mwendokasi ila wakandarasi wanavuruga wanaacha kitimtim kwa watumiaji. Ni kama kilwa road tu wanajenga hapa wanaacha wanahamia pale wanaacha sasa kazi ipo kwa watumiaji. Asubuhi mtapita kushoto,mchana katikati jioni kulia kesho hamna njia!Keko ipi hiyo mbona ume generalize?
Hakika ni kero mkuuKutoka veta hadi njia panda ya taifa, wanajenga mwendokasi ila wakandarasi wanavuruga wanaacha kitimtim kwa watumiaji. Ni kama kilwa road tu wanajenga hapa wanaacha wanahamia pale wanaacha sasa kazi ipo kwa watumiaji. Asubuhi mtapita kushoto,mchana katikati jioni kulia kesho hamna njia!
Kesho siyo habariChanzo: HabariLeo