DC atuma polisi kutekeleza amri

Habarindiyohiyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
263
13
Mkuu wa wilaya ya Kindoni, Leo ametuma vikosi vya polisi wakiwemo askari wa kuzuia ghasia kwenda kutekeleza amri uthamini wa viwanja vya wananchi. Misafara ya Askari hao imeonekana ikipita katika barabara ya Morogoro kuelekea Kwembe ambapo kuna mvutano kati ya wananchi na serikali


.....ndiyohiyo
 
mkuu sasa ni vita au nn kitaenda kuendelea huko kati ya wananchi na hao polisi. jus kip us informed.

heshima mbele habarindiyohiyo
 
Back
Top Bottom