DC Arumeru atoa siku 3 bendera za CHADEMA zishushwe wilayani kwake

Kama ni kweli basi atakuwa ni msaliti wa serikali iliyo mteua maana hilo jambo kamwe halitakubaliwa na jamii ya watu walio staarabika
 
Siamini kama hayo maneno kayatamka mkuu wa wilaya
Hapo ndio muda wa kupandisha bendera mpya za cdm. Huenda CDF akatolea kauli huu utunzaji wa amani uliotolewa na Jerry Muro.
 
Sasa kwanini tumshangaee mtu kama huyo!! Udc kapewa kwa ulopokaji na sio uwezo au sifaa za kiuongozi!!!.
 
WEKA U
WEKA USHAHIDI SIYO KULETA HADITHI ZA ULE ULE HAPA
 
It is shocking, lakini ni kipimo cha msimamo wa serikali. Ataungwa mkono na RC na Jiwe. Msajili naye atakaa kimya ni mkuki kwa nguruwe.
 

Watumie muda huo kuwaza na kutatua Changamoto za Wananchi sio kuwaza juu ya Matumbo yao!
 
CCM sio baba yangu wala mama yangu naweza kuhama.

Huyo DC alipewa kiburi baada ya kusifiwa na yule Ara piii sii ambaye ni kada mwenzake wa Kidumu chama cha mapinduzi, aliyetokea kule kwenye jiji ambalo askari wake walihongwa mil.700 na mapesa mengine zaidi ya mil.300 kukutwa kwenye gari yakisindikizwa kwa mabunduki na madini kutoroshwa huku yeye akiwa amekunja NNE ofisini.
Sasa cha ajabu anazidi kupanda juu kileleni pamoja na mamilioni ya pesa kutolewa kama rushwa kwa watu waliokua kwenye himaya yake.

Ukiwa kada raha na karaha kwa wengine.

Kama DC ametoa amri hiyo halafu Chadema wakakaa kimya tutaamini kuwa viongozi wa chama hicho ni wasaliti wakubwa .
 
DC wa Dom anapwaya sn nae anatakiwa ajilipue kama wenzake, natabiri mzunguko wa pili wa kubadilishia watu vyeo atatemwa na kupewa mtatiro nafasi yake.
 
Kama kawa wazee wa kuzusha,hata mtt mdogo au kichaa hawezi kuamini kitu hiki au kusema kitu hiki,mnajishushia kuzusha mambo ili kuwafanya wananchi waichukie serikali yao.

Msipoacha tabia hii ya kuzusha mambo pasipoushahidi mnapotea muda si mrefu
 
Nikisoma comments za watanzania naishia kusema Mtanzania ni msukule wa hovyo hapa dunian
 
Yaani cdm ni wepesi sana kuamini kila ujinga wenzao wanaoleta humu pasipo kupima ukweli wake,wao ni kusuport tu hata m-cdm akileta thread kuwa trump anajiunga na cdm na atagombea kupitia cdm 2020 watakubali tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…