Heri mie uzee naupiga vita kwa mapanga na sime! Ndo kwanzaa nataka kuoga nitoke. To be old is a choice, to grow up is optional.
Memory lane kukumbushia sio mbaya
ILA samahani kuuliza ITA ndio wapi? Na kibo bar iko wapi manaake wikendi hii sio mbaya kwenda kupata double double not single, shaken
Unasema nini Kongosho............hiyo mbona inakumbushiwaga, lazima kuna those day unajiachia kidogo
hivi sasa hivi niende mziki nikaombe special request ya Dolly Parton, au Jim Reeves au Skitter Davis si watanishangaa?
Sijui niombe my tenesee au do I ever cross your mind?
Hata sitaeleweka, ninajiachia ila in private zaidi.
Ha ha ha ha............bora wewe Skitter Davis, mimi Kandabongoman je? once in while kwenda kwenye miziki ya wakubwa inaruhusiwa............lol........mpango mzima
he he he, acha utani
wee mtoto mbichi kabisa wa kuliwa sushi
mie hata supu ya walevi sifai tena.
he he he, acha utani
wee mtoto mbichi kabisa wa kuliwa sushi
mie hata supu ya walevi sifai tena.