thebusdriverclassc
Senior Member
- Jan 16, 2014
- 146
- 66
Habarini za mchana wadau, natumai mpo salama mkiendelea kutimiza majukumu yenu ya kila siku...niliwahi kuja na wazo biashara siku zilizopita...biashara ya M-pesa, nashukuru kwani nilipata michango ya wadau wengi, ikieleza faida na hasara za hii biashara.
Habarini za mchana wadau, natumai mpo salama mkiendelea kutimiza majukumu yenu ya kila siku...niliwahi kuja na wazo biashara siku zilizopita...biashara ya M-pesa, nashukuru kwani nilipata michango ya wadau wengi, ikieleza faida na hasara za hii biashara.
Sasa baby si utumwagie maujuzi hapa.Mkuu naona kama kiasi hicho ulichonacho ni kidogo kwa kuanzia sababu utahitaji kuwa namazingira safi na yanayovutia, vile vile vifaa kama magodoro kwa ajili ya kupumzikia, vijitu vya kuchezea watoto, vyombo vya chakula n.k, ila kwa kiasi hicho waweza fungua kituo cha watoto cha kujifunza. Kwa mfano mi na Mr wangu tulifungua kituo cha watoto cha kujifunza wanaingia asubuhi wanatoka saa 6 kwakweli tunamshukuru Mungu mambo sio mabaya
Sorry nilikua offline, kituo kinakua kama Nursery, ila sasa ukiandika moja kwa moja Nursery utadaiwa usajili kwasababu nursery ni shule hiyo tayari ila kwakua mdau ndio anataka kuanza atumie Children learning centre ila watoto wanasoma kama chekechea mambo yakiwa vizuri anaanza taratibu za kusajiliSasa baby si utumwagie maujuzi hapa.
Maana wewe ni mdau,maana kituo cha watoto cha kujifunza sijaelewa kivipi yaani.
Inakuwa na watoto wa kuanzia umri ganiSorry nilikua offline, kituo kinakua kama Nursery, ila sasa ukiandika moja kwa moja Nursery utadaiwa usajili kwasababu nursery ni shule hiyo tayari ila kwakua mdau ndio anataka kuanza atumie Children learning centre ila watoto wanasoma kama chekechea mambo yakiwa vizuri anaanza taratibu za kusajili
Miaka mitatuInakuwa na watoto wa kuanzia umri gani
Habarini za mchana wadau, natumai mpo salama mkiendelea kutimiza majukumu yenu ya kila siku...niliwahi kuja na wazo biashara siku zilizopita...biashara ya M-pesa, nashukuru kwani nilipata michango ya wadau wengi, ikieleza faida na hasara za hii biashara.
Ungeenda extra ukaelezea zaidi kwa faida ya wengiMkuu naona kama kiasi hicho ulichonacho ni kidogo kwa kuanzia sababu utahitaji kuwa namazingira safi na yanayovutia, vile vile vifaa kama magodoro kwa ajili ya kupumzikia, vijitu vya kuchezea watoto, vyombo vya chakula n.k, ila kwa kiasi hicho waweza fungua kituo cha watoto cha kujifunza. Kwa mfano mi na Mr wangu tulifungua kituo cha watoto cha kujifunza wanaingia asubuhi wanatoka saa 6 kwakweli tunamshukuru Mungu mambo sio mabaya
Umewasahau wachokozi! Wale akina mwakinyo[emoji28]Baada ya michango yoote hiyo.
Muhim ni mazingira mazuri kwa watoto.
Day Care center,unajua wazazi huangalia zaidi mazingira,maana level hiyo hawaangalii utafundisha nini,maana hao virukuu wanakuwa hawana issue,sasa focus yao ni kwenye mazingira.
Ila kwa 1.5,baso saana mkuu,maana ujue ni bora nursery school ni rahisi kuliko Dar care center.
Ni gharama kiasi,na usafi wa hali ya juu mno,na wafanyakazi si chini ya 3 mpaka 9.
Ukitaka kujua hilo,nenda sehem ukute watoto wamelianzisha kulia,aisee kazi ngum hii balaa.Bora uambiwe uwapigishe mswaki mbuzi kuliko ku deal na watoto level hiyo.
Kina vikojozi,kuna watemi,kuna waroho,muda woote wanataka kula tuuuuuu,kuna wasioshiba,yaani balaa.wenye kujiharia ndio usiseme.Wenye kupenda kusinzia ohoo hao ndio balaa yaani wakigusa geti full kulala.