Day well spent at On Point BBQ Kitchen....!!!!

Wanaopajua hawataki kusema ni wapi...kwanini?
 
Kwa wachoma nyama wote wananifahamu huwa sili nyama ambayo haijaiva vizuri au kubabuliwa kwa moto mkali.

Pia hapo angetakiwa apige na ndizi choma na kachumbari ya nyanya na vitunguu na limao hapo ndo raha ya kufanya kazi kwa badii utaifurahia.
Kwel we mdau wa nyama mkuu
 
Kwel we mdau wa nyama mkuu
Mkuu siyo mara nyingi saana ila kwa sasa najaribu sana kutafuta nyama pori wadau wengi wamenishauri...ni nzuri sana japo ni ghali kiasi...hivi mkuu kwa dar nyamapori huweza patikana wapi kwa uharahisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…