Umeona unisisitizie hapo location kule kwenye Fuvu la Mkwavinyika Mkwawa au Kaburi la Baba wa Mkwawa lipo lile ambalo ukienda eneo la Kaburi hauruhusiwi kuingia na viatu viatu unavua mbali sana mule unaingia peku
Check wajamaa wa TaTanga Tours watakupa local activities za Iringa
Upelekwe Kalenga ngomeni
Daytrip ziko nyingi
Pia Ruaha National park you can do it Daytrip tour
Check wajamaa wa TaTanga Tours watakupa local activities za Iringa
Upelekwe Kalenga ngomeni
Daytrip ziko nyingi
Pia Ruaha National park you can do it Daytrip tour