georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,882
We kukuruka tu lakini mwishowe ni kukwaa ngoma. Na ndoa utaiskia kwa wenziohahahaha hao Tamwa nawatafuta kikazi zaidi,asikwambie mtu mie nikisimama barabarani hata muda huu sikosi foleni ya watakaotaka kutangaza nia ya ndoa,lakini nataka nikukurukeeeeeeeeeeeeeee nikiingia huko aaaah kiroho safi kabisa mikono nyuma nakuwa mama kweli.
We kukuruka tu lakini mwishowe ni kukwaa ngoma. Na ndoa utaiskia kwa wenzio
mhm unataka kuolewa...umri umefika tafuta mume kama vipi njoo kwangu ila mie nataka mwanamke asie taka kuzaa
Una kichaa ujue wewe. Kwanini hutaki watoto?
Jibu ni simple tu umri umekwenda na umeshafikia ile stress time ya mwanamke kuolewa..labda ulidengua sana kipind cha nyuma ss hv ndo unastuka..it might or might not be ila inshort age imeenda na kwa vile wewe n ubavu wa mwanaume ndo unataka urudi sehem yenyewe sasa..im done yoooo!!!!Hello JF!!am a lady 24 by age. Kuna kitu kinanishangaza sana,toka mwaka huu uanze nimekuwa natamani sana and wishing to get married.Sometimes utakuta nimekaa peke yangu naanza ku fantasize kuhusu ndoa.But kila nikiangalia sioni mtu aliye serious!! All I dream about nowdays in a "family". Yaani nikiwa nakula,nikitembea nawaza hichohicho. Is this normal??
si umuoe halafu ili asizae anatoa kizazi inakuwa kugegedana tu kwenda mbele maana hata sikuzake atakuwa hapati