Hali bado ikiwa tete hakieleweki juu ta hatma ya nafsi za koplo na konstebo leo ni siku ya 7 ya uchunguzi wa tume iliyopewa siku kumi ! Jtatu in sha allah tume itakuja na majibu sahihi tuendelee kuvuta subira na kama kuna mwenye taarifa yoyote wana jf tujuzane
nawasilisha !!
Erick yusto !! Depo kama kawa kwa wenye sifa wale 30 sio wote watapigwa chini but nimetonywa na chanzo changu cha karibu kua kwa nafasi za konstebo kuna majina yamebainika kua ni standars seven hata form four hawajafika du tusubiri hii movie inakaribia kuisha season one wiki ijayo