ERICK YUSTO
JF-Expert Member
- Jul 19, 2012
- 207
- 51
Waite wakalishe chini halafu watoe hofu kwanza..waambie wasiogope mana wao hawapo..waulize kwa utaratibu kabisa nini kilitokea..Ndugu zangu tusubiri taarifa ya uchunguzi wa kamati..kumbuka kamati ina wajumbe wa 5 na imepewa siku 10 kukamilisha report hiyo..na kwa mujibu wa Nantanga kamati imepewa hadidu za rejea kuhusu uchunguzi huo..1.wachunguze uhusiano wa majina ya washukiwa na watumishi wa idara.2.wachunguze mchakato mzima wa usaili ulivyoendeshwa pamoja na tuhuma za kuwepo kwa rushwa.3.sifa za wasailiwa na vipaumbele vya idara je zilizingatiwa au kuna wengine hawakuwa na sifa.3.wabaini ni upendeleo wa aina gani ulijitokeza..hizo ni baadhi ya hadidu za rejea walizopewa kamati hiyo yenye jumla ya idadi ya wajumbe wa 5 na iliyopewa siku 10
mngejua walioko kwenye hiyo tume mngejuta! walewale waliosimamia zoezi la assistant inspector na wao wenyewe kuweka ndugu zao ndo wamepewa tume! what do you expect? mmoja wao ni subira Kaporo ambaye mdogo wake mangunda Kaporo nar kachaguliwa kwenye ngazi ya assistant inspector! mengine chunguzeni wenyewe
Kumbuka hata huko kwenye lile kundi dogo kuna wadogo zetu tuliwalipia nauli na walifaulu usaili kihalali ikiwa ni pamoja na maombi ya kila siku..sasa kutokana na uhuni wa genge hili la wanyang'anyi na wadhulumu wa haki za wanyonge ndio wakaharibu kbs...chomoa wote wasio na sifa.
Kaka sio siku nne leo ni siku ya tano..i mean ifikapo kesho zitabaki siku 4 ilikukamilisha siku 10 za kamati kuleta report ya uchunguzi..kumbuka wamepewa siku kumi kuanzia agosti 1 hadi agosti 10..kwaiyo hesabu tarehe na sio siku za kufanya kazi za serikali
mdogomdogo mpaka siku ikifika kitaeleweka tu..;
Sure bro