Day 1 !!! Uhamiaji

WAKITHUBUTU kufanya hivyo wanalipua BOMU lingine kama hawajui. Watu walitoka mikoa ya mbali kwa nauli za kuungaunga na WAMEFUZU halafu leo hii kwa kuwaonea AIBU mamluki 30 eti uanze upya... 30 Toa, Nafasi zao zitajwe toleo la ajira MWAKANI..
 

acha majungu wewe mtoto wa kiume ngoja watu wapaze sauti
 
mgonjwa maswali yanaelekezwa upande wako zaidi, kwa sababu unauwezo wa kubadilishana mawazo na wanaohusika, sasa basi endelea kuwaambia ya kuwa bado tuna imani na hatua za katibu mkuu wa wizara, ila ushauri kwa dhamira yake ya dhati ya kuhakikisha kila mmoja anapata nafasi kwa sifa na vigezo tu wala si vinginevyo, anatakiwa kushiriki kikamilifu ktk usimamizi wa zoezi hili hadi mwisho, akisubiri taarifa yatarudi yale yale na hatima yake itapatikana hata kam si leo lakini pia narudia KEKI YA TAIFA NI YETU SOTE YAPASWA TUGAWANE SAWA SAWA, watakaohusika watajibu hili kama mungu tutamkuta, labda tusimkute baada ya hapa.
 

mkuu hii habari ni ya kweli kabisa ama ?

tangazo liko wapi?
 
KUITWA KAZINI
Kamishna Mkuu wa Uhamiaji anawatangazia wafuatao kuwa wamefaulu usaili wa kujaza nafasi za
Konstebo na Koplo wa Uhamiaji (
Consta
ble and Corporal of Immigration Services
)
hivyo wanatakiwa
kuripoti Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Mtaa wa Loliondo
–
Kurasin
i
, Dar es salaam tarehe
06/08/2014 saa 2.00 asubuhi.
A
idha
wahusika wote wanaelekezwa kufika kwa wakati
wakiwa na vyeti ha
lisi vya masomo na vya
kuzaliwa. Wasailiwa ambao majina yao
hayamo kwenye orodha hii wanajul
ishwa kuwa hawakufanikiwa.
A
idha
ni muhimu kufahamu kuwa uchaguzi wa walioitwa kwenye ajira umezingatia yafuatayo:
-

V
ipaumbele
vya idara

U
faulu

J
insia

M
uungano
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
KONSTEBO WA UHAMIAJI
S.N
JINA
1
ALEXANDER S. RWEYEMAMU
2
ALI PEREIRA AME
3
ALLY HAMED SALUM
4
ALLY SHAAME ALLY
5
AMINA M. AMIRI
6
AMINA MILIMBA
7
ANDREW THADEUS BENDERA
8
ANTONY ARTHUR
9
ANUARY OMARY SALIM
10
ARAPHA A. RUSHEKE
11
ARAPHAT YASSIN
12
AROSE N. SHUMA
13
ASENATH MASSARO
14
ASHA ABEID GUMBO
15
BARAKA E. MWANJABALA
16
BASILI LUCIAN JOHN
17
BATULI M. LUMAMBO
18
BEATUS KANDEGE


19
BENSON G. GODWELL
20
BONAVENTURA A. BETI
21
CALVIN STANLEY MUNISI
22
CATHERINE J. MAPUNDA
23
CELINA G. LYIMO
24
CHARLES F. KINGOTO
25
DEOGRATUS MUTASHOBYA
26
DORCA M. NDEGE
27
ELIZABETH EDWARD
28
ELIZABETH EMMANUEL LEMA
29
ESTER N. MAHIRANE
30
FATMA JUMA ABDALLAH
31
FETEH MOH'D JUMA
32
FLORA MUSSA MAGORI
33
FRANK A. JEREMIAH
34
FRANK G. KAJURA
35
FREDRICK LEONARD KOWERO
36
FURAHA ISAYA
37
GABRIEL A. MWALUSAMBA
38
HAFSA MUSSA MAKANGE
39
HAMAD HEMED MBARAKA
40
HASSAN MUHSIN
41
HUSSEIN H. IDDY
42
JACOB DANDA
43
JACOB P. ULUNGI
44
JAMES MOGHA
45
JANETH JAMES MILLINGA
46
JANETH JOHN KINONGO
47
JANETH R. LUKUWI
48
JOSEPH N. YONDANI
49
JOSEPHINE LUCAS MWITWA
50
JUMA J. SALUM
51
JUSTINIAN P. KYETEMA
52
KAMBOLE IDD BALOZI
53
KARIM SALOM CHUO
54
KARUSI RAPHAEL MASINDE
55
KASSIAN MILINGA
56
KHAMISI R. SIMBA
57
LAURENT JULIUS BATAO


58
LEILA KHATIB IROVYA
59
LEONIDER SAMWEL ELITUMAINI
60
LILIAN ROBERT LYIMO
61
LINDA OSCAR MROKI
62
LUCAS NGASA
63
LUCIA ABIHUDI KASONDE
64
LUCIA COSTANTINE NGONG'HO
65
LUCIAN F. MLULA
66
LUCY REGINALD MOSHA
67
MAJABU J. SEKULU
68
MARIAM HAMISI
69
MARIAM JUMA BHALLO
70
MARIAM M. KIMAMBO
71
MARY L. JOSEPH
72
MARYAM ALI HAJI
73
MISSANA B. MACHUMU
74
MWAMVUA ABDALLAH KITONGE
75
MWANAIDI SALIM JUMA
76
NEEMA KASSIANO LUKOS
77
OLIVER ARBOGASTI TARIMO
78
PASCHALIA E. MWENDA
79
PATRICK Z. NGUNDA
80
PENDO DAUD GAMBADU
81
PRAISE MSAFIRI
JACKSON
82
REHEMA SALUM RUBEA
83
RICHARD JEREMIA
84
SADRU MOHAMED PANDU
85
SALMA A. LIPAPA
86
SALUM KH. SALUM
87
SALVIN SIPENDEKI
88
SARAH WILLIAM KAFUKO
89
SAULO REUBEN
90
SELESIUSI SWITBERT
91
SITI JUMA MZOME
92
SUBIRA M. MWAIPOPO
93
SUNDAY J. JULIUS
94
THERESIA ERNEST KALUNDE
95
TYNESS N. NDABISE
96
UPILE LUCAS LUKUMBO
 
Haya wajameni, watu wanaitwa kazini huku wengine wanaambiwa tumefuta kazi tulizowatangazia!

I am confused..
 
manumbu heri uwe unakaa kimya kama huna mchango, hii si sehemu ya kuleta mipasho,' kukaa kimya ni sehemu ya busara'.
 

HASWAA! Mkuu ulichokiandika hapa ndiyo SAHIHI... Naunga mkono HOJA.
 
Nashukuru kwa kuunga mkono hoja inaonesha kiwango chako cha uelewa ni kizuri zaidi...ipo hivi katika watu 200 both makoplo na makonstebo waliofaulu usaili hatuwezi kusema watu wote hao walipendelewa hata kama mm ndo ningekuwa mwenyekiti wa hiyo kamati ninge rise hoja hiyo..kumbuka tuhuma hizi zipo kwa suspects(washukiwa) waliofanya mpaka ajira zikasitishwa..then kuna wengine walitoka mbali sana na kutumia fedha kuja kwenye usaili na walikuwa na sifa na vigezo vyote na waliajiriwa.sasa kupitia mwanya huu wale wachache wakaingizwa humu ndio waliowaharibia watu wote wenye sifa stahiki..
 
Inauma na kukera kwa kweli ,mimi kama nisipoutw tena ntaenda mahakaman,haiwezekan uzemb wa wachache utughalimu na wengine
 
We rutuba bila akili ukienda mahakamani unadhani itasaidia nini?????
Nenda kisutu mapema ndo utajua cheti chako hakina rutuba.
 
mh ngja tuone hii pcha ya kihindi itapoishia
 
Mpaka sasa bado ni kizungumkuti juu ya wahanga wa nafasi za koplo na konstebo wa uhamiaji aka wateule !! Tume inaendelea na uchunguzi !!!
 
hahahahah hiyo ni danganya toto mkuu, ivi ni tume ngapi ziliundwa hapa bongo zikaja na majibu yaliyosahihi na kufanyiwa kazi, any let us see itakuaje.
 
Mpaka tume ije ilete majibu si ajabu miaka itakua imeishapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…