Day 1 !!! Uhamiaji

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Uchunguzi na tume iliyoundwa kufanya kazi juu ya ajira zilizositishwa kwa nafasi ya koplo na konstebo leo ndo siku ya kwanza !! Tunasubiri majibu kwa hamubkubwa sana sisi watoto wa wakulima tuliopata kwa nguvu ya mungu ehee mungu baba saidia
 
Kwani utaipata hiyo kazi hata wakirudia rudia
 
Uchunguzi ni siku kumi tu !! Kuanzia tar 10 mambo hadharani ...mwisho wa mwezi wa nane watu depo so wakaguZi wanasubiri mpaka tume ije na majibu waondoke pamoja na ma koplo na makonstebo
 
Nchii hakuna haki kila kona hata wakirudia ni vile vile ila ipo siku hakiyanani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
hyo ngoma inabidi ianze upya.....namanisha tangazo linabi liwe re-advertised
 
Uchunguzi ni siku kumi tu !! Kuanzia tar 10 mambo hadharani ...mwisho wa mwezi wa nane watu depo so wakaguZi wanasubiri mpaka tume ije na majibu waondoke pamoja na ma koplo na makonstebo

Daah! Bora.... Naamini HAKI itatendeka tu.
 
Nilishasema uchunguz utafanyika kwa wale washukiwa i mean majina yaliyofika mezani kwa katibu...na majina yote ya suspects ndo yatakuwa targeted kuliko mengine but pia mchakato wote wa usaili utapitiwa pamoja na mafile ya watu wote walichaguliwa ili kubaini je walikuwa na sifa za kupata ajira au lah..na je na hao washukiwa walikuwa na sifa au lah..na kama huo upendeleo uliofanywa ulikuwa kwenye nyanja ipi..kumbuka hizi ni tuhuma kwaiyo zinaweza kuwa za kweli au si za kweli kulingana na uchunguzi wa iyo kamati no matter wewe utakuwa unaujua ukweli kiasi gani..lakin itakuwa rahis kumbaini mtoto lakini sio ndugu bado kuna utata sana kwa ndugu mana tz tumefanya sana intermarriages so its difficult..naomba tusubiri ripoti ya kamati hiyo ili tuweze kujiridhisha..wengine hatujui kama kweli majina yale bi ya watimish wa idara hiyo mana me cmfahamu mtumish hata mmoja..watu wenywe wa wizara watatiambia je wana watumishi wenye hayo majina au lah.
 
Uchunguzi unaendelea juu ya tuhuma za upendeleo wa nafasi za koplo na konstebo !! But kumbukeni hizi ni tuhuma majibu yake yanaweza kua kweli aibsi kweli !! Majina ya washukiwa yakionenakana ya sifa wataendelea kama kawa !! Na pia kukumbuka wakikubali kua kuna upendeleo ni tatizo kwao itabidi wawajibike kitu ambacho ni ngumu mtu kukubali !! Tuendelee tusuburi hii movie ndo imeingia siku ya pili ...ACHA MOVIE IENDELEE
 
Ni kweli ktk tuhuma kuna mambo mawili yanatarajiwa ambayo ni kubainika kwa ukweli wa jambo au kutokuwa na ukweli wa jambo husika, ila ktk suala hili kama isipohusisha siasa za aliyeko juu mngoje chini, nyanya zakutazamwa ni

UHUSIANO - Hili la kwanza sababu liliweza kuwekwa bayana na vielelezo walivyoweza kuviwasilisha waungwana bila kujali walikovipata.

1)Elimu
2)Umri
3)uhalali wa vyeti vyako (uhalisia)
4)alama ktk usaili uliofanyika.

Kuna neno linatumika ktk matokeo yaliyokuwa yakitolewa kuwa waliochaguliwa ni kwa kuzingatia 1.jinsia 2.vipaumbele vya idara (hapa itabidi wavitaje sababu kwa wote walioitwa ktk usaili tayari wanavigezo laa pawepo na ufafanuzi wa kigezo hiki) 3.muungano (sina imani sana na kigezo hiki kwani mtanganyika na mzanzibari wanatofautiana elimu ktk level moja mf form six ya zanj iko tofauti na ya tanganyika?) 4. ufaulu (tunapongeza PCCB wao waliweka hadharani matokeo ya kila mmoja ya waliowasaili kwa alama alizozipata hapakuwa na shida)

Kama mungu tutamkuta kwa hili "KILA MMOJA ATAPATIWA HAKI YAKE KWA ALICHOKITENDA" vilio vya watanzania tulio wengi viko hapa juu ya haki itendeke na tunaimani za Katibu wa wizara kwa haya maamuzi ya awali aliyoyatoa ya kusitisha ili uchunguzi ufanyike.
 
ss wakiangalia hvyo vigezo wakati utakuta wanavyo utafanyaje ...mana siku izi watu wamesoma kweli hagushi tena vyeti sema ajira ndo chache na wanapata watu wachache wannaofahamika...me naona hilo halitoshi ...kesi kubwa iliyopo apo ni kujuana na upendeleo wala sio mambo ya uwezo na kama ni uwezo inabidi walinganishe mara ya pili kwa watu wote waliofanya usaili
 
Kutoka chanzo cha karibu cha idara hiyo baada ya mvutano na sintofahamu ya nani awajibike juu ya ajira kuwepo kwa upendeleo wa ajira za koplo na konstebo NAFASI HIZO WAMEAMUA KUZITANGAZA UPYA !! TUSUBIRI MOVIE INAENDELEE LEO NI SIKU YA PILI TANGU TUME IANZE KAZI YAKE !!! IWE MUNGU BABA SAIDIA
 
Me bado sijaridhika hawa ni makoplo,na sajenti vp wale 70 wakati ni walewale kasoro majina?haki ilikuwa wap pale?
 
Naiwe ivo ili wanyonge nao wabahatike!Mungu atatenda Miujiza.
 
Mgonjwa utakuwa unahusika na kashfa ili hali aliyekuweka anaendelea kukupa imani na kukupatia taarifa za ndani kabisa hlf unadanganya umma nawe ni mtoto wa mkulima uliechaguliwa kwa nguvu za mungu, kumbe ni kwa nguvu za anayekupa taarifa za ndani ya idara, ila mng'ang'anie ahakikishe anakurudisha tena kwani kama anaweza kukupa siri za idara hatashindwa kukurudisha tena hongera ndugu.
 
Haaaaa mzee wa nzegea ni kweli ni miongoni mwa waanga but ni mtoto wa mkulima kabisa !! Taarifa napata kwa miongoni mwa majina ya washukiwa coz tulifanikiwa kubadlishana namba za simu baada ya usaili !! Kwa nguvu ya mungu naamini nitashinda
 
Mpaka kamati ya uchunguzi ilete majibu wengine watakuwa wamepungua uzito..Mgonjwa me nna maswali machache tu kwako..1.umesema mpaka sasa kutokana na tetesi za nani awajibike haijulikani ina mana tayari tuhuma ni kweli kuwa kulikuwa na upendeleo uliofanyika kwa ndugu wa watumishi hao..na je kama tuhuma hizo ni za kweli upendeleo huo ulikuwa kwenye nyanja gani..elimu,dini au muungano.2.je kama imebainika kulikuwa na upendeleo kwan haijulikani wasailiwa walikuwa kwenye kamati namba ngapi na ni akina nani walikuwa members katika kamati hizo na ni kwanini waliwapa nafas watu hao huku wakijua kuwa hawana sifa..3.na je ikiwa kama wata tangaza upya vipi kuhusu wale ambao walipita kihalali na walikuwa na sifa zote huoni watakuwa hawakutendewa haki mana itabidi waanze upya ikiwa ni pamoja na kutumia resources kama vile pesa..Last:..kusema haijulikani nani awajibishwe wakati uzembe upo wazi si sahihi.me nadhani watoe wote ambao uchunguzi unaonekana walipendelewa then nafasi hizo zitangazwe tena then wale waliopita kihalali wapewe nafasi zao..na iainishwe ni watu wangapi wanahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…