DAWASCO wachimba Mashimo kuzika upotevu wa Maji

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,679
8,421
DAWASCO wamekuja na teknolojia mpya ya kuchimba mashimo kwa wingi maeneo ya Sinza, mwenge, mikocheni na mwananyamala katika kudhibiti upotevu wa maji. Yaani maji yanavujaa na kujaa shimoni humo kisha yanaanza kutapakaa barabara nzima. Jambo hili ni la kwanza kufanyika duniani na huenda likaingia kwenye kitabu cha maajabu ya dunia. Hongereni DAWASCO. #Hapa kazi tu#
 
Back
Top Bottom