DAWASA mna shida gani - maji hayatoki Tegeta siku ya 5

DAWASA mna shida gani - maji hayatoki Tegeta siku ya 5

Chizoba

Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
52
Reaction score
49
Hivi kuna shida gani Dawasa? Maji hayatoki Tegeta siku ya tano sasa na hamtoi taarifa yoyote wala hamshughulikii tatizo. Mkipigiwa simu mnasema mnashughulikia lakini siku zinapita tu maji hayatoki. Nini shida?
 
Nyie si mpo karibu na bahari?
Au bahari nayo imekauka?
Nunueni ya kwenye viwanda,typo uchumi wa kati.
 
Back
Top Bottom