Dawa za Meno

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
40,911
53,308
View attachment whitedent.bmp

Napenda leo tuchangia kuhusu hizi dawa za meno. Unapoinunua ipo ndani ya box, ukifungua box ndani kuna dawa ipo ndani ya tube, kizibo chake hakina seal, wala hakuna namna yeyote ya kumhakikishia mtumiaji kuwa yeye ndiyo mtu wa kwanza kuitumia, na zaidi sana hakuna namna yeyote ya kuhakikisha usalama wa mtumiaji kuwa dawa haijafunguliwa na kuongeza kitu chochote ambacho kinaweza kuleta madhara kwa mtumiaji, je ufungaji huu tuendelee kuukubali; nawakilisha wakuu.

 
Back
Top Bottom