Nashauri uende kwenye hospitali zinazoeleweka utibiwe upone taifa linakuhitaji. Ila kama wapenda kuendelea kutibiwa na watu wanaoganga njaa, basi licha ya hapo Sinza, telemka Jangwani kuna mganga toka Sumbawanga anatibu kila aina ya ugonjwa kwa kushikishwa kibuyu chenye shanga!! Au nenda pale Magomeni Kagera kuna mganga mwingine naye anatibu kivyake. Kwa hiyo Tumaini, ebu kama unajijali nenda kituo cha tiba kinachoeleweka kulingana na uwezo wa mfuko wako (Sinza Palestina, Tandale, Magomeni, Mwananyamala Hosp, Muhimbili au Agha Khan).