Dawa za kupunguza unene

mambali

Senior Member
Oct 16, 2012
172
64
habarini wadau,,, kuna jamaa angu amekuwa akiniulizia anaweza kupata wapi dawa za kupunguza unene kwani anaona anapoelekea siko na yeye hapendi unnene kabisa msaada wa kitabibu,kiushauri unahitajika!!
 
Dah! Mi natafuta unene yeye ndio hautaki!
Kama vip mwambie tubadilishane!
 
habarini wadau,,, kuna jamaa angu amekuwa akiniulizia anaweza kupata wapi dawa za kupunguza unene kwani anaona anapoelekea siko na yeye hapendi unnene kabisa msaada wa kitabibu,kiushauri unahitajika!!

Kama ni swala la dawa,dawa zipo..
Tafadhali nitumie namba yako kwenye
Email:
shelbytheseeker@outlook.com
With subject: How to treat ..........?
In the dash write your disease/complication.
****THANKS 8) :)
 
Back
Top Bottom