Dawa za Kulevya zimetusahaulisha ya sukari

Asovene

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
213
216
Yaani kuja ishu ya Dawa za Kulevya, ghafla tumesahau bei ya sukari. Ilipotoka 1800 kuwa 2000 tulipiga kelele leo 3000.

Kuishi Tanzania raha sana.
 
Subiria series nyingine tena soon itatoka itasahaulika hyo ya madawa
Mana sahv Tz haiishiwi matukio
 
ONE MAN SHOW SERIES:
1.Kipindupindu
2.Usafi
3.Kufuta sherehe za uhuru na muungano
4.Kuadimika kwa sukari
5.Kesi dhidi ya dikteta uchwara
6.Kupatwa kwa jua
7.Tetemeko la Kagera na utaifishaji wa michango ya faraja.
8.Kupotea kwa Ben Sanane.
9.Kuminya uhuru wa habari.
10.Ukame na njaa.
11.Vita dhidi ya madawa ya kulevya.
12. NEXT EPISODE???
 
Hali Mbaya Sana Sukari Tsh 2800/- Hii Serikali Ya Viwanda Inatumaliza Kabisa
 
Back
Top Bottom