Dawa za kulevya: Kuna mkakati wa kuzuia dawa kama valium zisimfikie teja?

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Nimeona juzi kwenye TV wanajinasibu kufuta biashara ya madawa ya kulevya na wansahau kuwa kuna dawa nyingi sana za usingizi na zamaumivu zinatumiwa namateja. Hizi dawa zinauzwa kwenye maduka ya dawa, pharmacy na mahospital .
Mfano hizi dawa chache hapa
Ativan, Halcion, Librium, Valium, Xanax,

Mkakati upo wa kuzizuia kuimfikia teja?
 
Madawa yapo mengi mdau hata haya ma syrp ya kikohozi ukinywa chupa nusu tu biashara kwishney kuna pethdine inj na syr yake ila hiyo hutolewa na hosp kubwa tu na kwa wagonjwa maalumu pale inapohitajika kuna syr ilikuwa inaitwa Benylin with codein ile ilikuwa ni unga kabisaa ila kwa sasa naona haipatikani tena Tanzania
 
Back
Top Bottom