Dawa Za Kulevya JKNIA!!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,691
22,713
Wanawake wawili wamekamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere ambapo inasemekana mmoja wao amekutwa na kete 180 za heroin huku ikisemekana kiasi hicho ni kikubwa kubebwa na mwanamke maana haijawahi kutokea kutokana na rekodi zinavyosema!!

My take:

Inaelekea bado kuna mwanya wa kupistisha hizi dawa licha ya Waziri wa uchukuzi Mh.MWAKYEMBE kubuni njia mbadala za kudhibiti suala hili!!



Source: Radio Free Afrika
 
Mtafute mkuu was upelelezi JNIA Hamad Hamad akupe taarifa yenyewe. Huo hapo ni uzushi!!
 
Back
Top Bottom