Dawa Za Kulevya JKNIA!!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,915
2,000
Wanawake wawili wamekamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere ambapo inasemekana mmoja wao amekutwa na kete 180 za heroin huku ikisemekana kiasi hicho ni kikubwa kubebwa na mwanamke maana haijawahi kutokea kutokana na rekodi zinavyosema!!

My take:

Inaelekea bado kuna mwanya wa kupistisha hizi dawa licha ya Waziri wa uchukuzi Mh.MWAKYEMBE kubuni njia mbadala za kudhibiti suala hili!!Source: Radio Free Afrika
 

Dogo1

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,313
2,000
Mtafute mkuu was upelelezi JNIA Hamad Hamad akupe taarifa yenyewe. Huo hapo ni uzushi!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom