Dawa za Kulevya: CHADEMA wafungua kesi dhidi ya Makonda

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwa kukiuka sheria na taratibu katika kushughulikia watuhumiwa wa biashara za dawa za kulevya nchini.

Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Mwenyekiti wa Chadema, Freemana Mbowe, pasipo kutaja tarehe ya kesi, alisema majaji waliopangiwa katika kesi hiyo inayokusudiwa kusikilizwa Februari 21 ni pamoja na Jaji Sakiety Kihiyo, Jaji Lugano Mwandambo na Jaji Pellagia Khaday.

Mbowe aliongeza kusema kwamba Chadema inakubaliana kabisa na inaunga mkono mapambano dhidi ya uingizaji na utumiaji wa dawa za kulevya lakini staili anayoitumia Makonda inawafanya watuhumiwa kuukimbia mkono wa sheria.

“Sisi Chadema tunakubaliana na kabisa na mapambano dhidi ya waingizaji na watumiaji wa dawa za kulevya nchini lakini kwa staili ambayo Makonda anaitumia ni kuwaandaa wafanyabiashara wanaotuhumiwa kuukimbia mkono wa sheria”alisema Mbowe

“Kupinga kwetu utaratibu wa kutaja majina ya watu hadharani pasipo vielelezo kutamsaidia Makonda na mamlaka nyingine kufuata sheria katika kushughulikia suala hilo kama ilivyofanyika hivi karibuni,” alisema Mbowe

Akikabidhi ripoti hiyo yenye majina 92 ya watuhumiwa wa dawa za kulevya yakiwemo majina ya watoto wa viongozi kwenye uongozi wa serikali ya Awamu ya Pili, Tatu na Nne, Makonda alisema kwamba yeye (Makonda) na Kamishna wa Kanda Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Simon Sirro, waliamua kutaja majina hadharani kwa kuwa biashara ilifanyika hadharani.

“Majina 97 yanawahitaji watu wa Interpol (Mtandao wa Kimataifa wa Polisi) waweze kuvuka nje ya mipaka yetu kwa ajili ya kushughulikia baadhi ya watuhumiwa waliopo kwenye orodha,”alisema Makonda.

Vita ya kupambana na uingizwaji na utumiaji wa dawa za kulevya ilitangazwa hivi karibuni na Makonda (Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es Salaam) huku wafanyabiashara, viongozi wa dini na wanasiasa akiwemo Mbowe wakitajwa hadharani kwamba miongoni mwa watuhumiwa.

Chanzo: Raia Mwema
 
Habari ni njema lkn imekosa source, na sijui itakuwa ni reliable, source ama authoritative source au ni Cicurmstancial source ama ni kitu gani? Tusaidie ili tuithamini post yako na kisha ijadiliwe, isije ikawa tetesi ama imagination zako tu.
 
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwa kukiuka sheria na taratibu katika kushughulikia watuhumiwa wa biashara za dawa za kulevya nchini.

Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Mwenyekiti wa Chadema, Freemana Mbowe, pasipo kutaja tarehe ya kesi, alisema majaji waliopangiwa katika kesi hiyo inayokusudiwa kusikilizwa Februari 21 ni pamoja na Jaji Sakiety Kihiyo, Jaji Lugano Mwandambo na Jaji Pellagia Khaday.

Mbowe aliongeza kusema kwamba Chadema inakubaliana kabisa na inaunga mkono mapambano dhidi ya uingizaji na utumiaji wa dawa za kulevya lakini staili anayoitumia Makonda inawafanya watuhumiwa kuukimbia mkono wa sheria.

“Sisi Chadema tunakubaliana na kabisa na mapambano dhidi ya waingizaji na watumiaji wa dawa za kulevya nchini lakini kwa staili ambayo Makonda anaitumia ni kuwaandaa wafanyabiashara wanaotuhumiwa kuukimbia mkono wa sheria”alisema Mbowe

“Kupinga kwetu utaratibu wa kutaja majina ya watu hadharani pasipo vielelezo kutamsaidia Makonda na mamlaka nyingine kufuata sheria katika kushughulikia suala hilo kama ilivyofanyika hivi karibuni,” alisema Mbowe

Akikabidhi ripoti hiyo yenye majina 92 ya watuhumiwa wa dawa za kulevya yakiwemo majina ya watoto wa viongozi kwenye uongozi wa serikali ya Awamu ya Pili, Tatu na Nne, Makonda alisema kwamba yeye (Makonda) na Kamishna wa Kanda Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Simon Sirro, waliamua kutaja majina hadharani kwa kuwa biashara ilifanyika hadharani.

“Majina 97 yanawahitaji watu wa Interpol (Mtandao wa Kimataifa wa Polisi) waweze kuvuka nje ya mipaka yetu kwa ajili ya kushughulikia baadhi ya watuhumiwa waliopo kwenye orodha,”alisema Makonda.

Vita ya kupambana na uingizwaji na utumiaji wa dawa za kulevya ilitangazwa hivi karibuni na Makonda (Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dar es Salaam) huku wafanyabiashara, viongozi wa dini na wanasiasa akiwemo Mbowe wakitajwa hadharani kwamba miongoni mwa watuhumiwa.

Chanzo: Raia Mwema
Kwani CHADEMA ilitajwa kwenye orodha .? Kwanini wanaweweseka !?
 
semeni tu wazi kwamba mnapinga vita dhidi ya madawa ya kulevya. sio 'ooh sisi tunapinga ila wahusika wasitajwe na wafuatwe kwa heshima usiku na kuwepo tarumbeta and blah blah' unafiki mtupu wa chadema
 
Hii kesi haikupaswa kamwe kufunguliwa na chama

kwani chama kimetuhumiwa kuuza madawa ya kulevya

Mbowe ni mpuuzi na kwa upuuzi wake anakitumia chama kama defensive shield yake

Huyu mtu hafai kabisa hata kuwa mwenyekiti wa Chama...Yuko pale kwa maslahi yake Binafsi

Anakitumia chama na rasilimali zake katika kesi binafsi

Ana turnish Image ya chama kuwa inapinga nia njema ya RC Makonda ingawa approach yake imekosolewa sana

Its high time now ...Watu wanaojielewa kuondoka kwenye this stinking party.....
 
mambo ya mbowe na chadema wapi kwa wapi
 
Chadema wanaweka Mpira kwapani!

Wamiliki wote wa Ma Casino wameitwa kuhojiwa Mbowe asidhani ni yeye Pekee?
 
Chadema is this necessary? mna majukumu na kesi nyingi mno tayari, kesi kama hizi za kazi gani tena kama sio kumaliza muda ?
its necessary....indeed ili kuua propaganda maana tukikaa kimya tukaacha lipite itafanywa wimbo hadi kufkia 2020 watanzania wanaweza ona kweli chadema ni chama cha wauza unga hasa uko vijijini ila kwa kufungua kesi tunaonekana tuko serious kuwa mwenyekiti wetu hausiki maana akichafuliwa mbowe ndio umechafua upinzani kumbuka yeye ni KUB
 
Chadema is this necessary? mna majukumu na kesi nyingi mno tayari, kesi kama hizi za kazi gani tena kama sio kumaliza muda ?
vipi ungetajwa wewe nchi nzima kuwa umo kwenye orodha wahusika wa dawa ya kulevya bila ushahidi wa kutosha kwa unahusika ungejiskiaje? na heshima yako inakuwa ishapotea .
 
Kwani CHADEMA ilitajwa kwenye orodha .? Kwanini wanaweweseka !?

Ulitaka waliotajwa ndio wafungue kesi? we kiazi kweli lazima wengine wajitokeze kupinga ili mambo yaende sawa Makonda na Mkubwa wake wanao ushamba wa madaraka na ukiwaacha wataumiza watu wasio na hatia kwa kupenda kwao sifa.
 
Hii kesi haikupaswa kamwe kufunguliwa na chama

kwani chama kimetuhumiwa kuuza madawa ya kulevya

Mbowe ni mpuuzi na kwa upuuzi wake anakitumia chama kama defensive shield yake

Huyu mtu hafai kabisa hata kuwa mwenyekiti wa Chama...Yuko pale kwa maslahi yake Binafsi

Anakitumia chama na rasilimali zake katika kesi binafsi

Ana turnish Image ya chama kuwa inapinga nia njema ya RC Makonda ingawa approach yake imekosolewa sana

Its high time now ...Watu wanaojielewa kuondoka kwenye this stinking party.....
Kuna mtu akiguswa kidogo tu, mnatokwa na mapovu ''ooh, hiyo ni taasisi'', vipi tena?

Mahakamani wanaenda kukosoa ''approach'', usitokwe na povu ukazimia bure ukaipa familia yako heka heka...huu mchezo, hautaki hasira!
 
Mkuu ingekuwa busara kwenda kumsaidia huyo makonda mahakamani.

Kwani nyinyi maCCM kuna jema gani mnalotaka CHADEMA iwasikilize?
 
Chadema wanaweka Mpira kwapani!

Wamiliki wote wa Ma Casino wameitwa kuhojiwa Mbowe asidhani ni yeye Pekee?
wamiliki umesema?? hyo mbowe hotels mmiliki ni Freeman mbowe peke yake???? kwanni hawakuita shareholders wote wamuite mbowe peke ake..????

acha ushabiko mambo ya kisheria yanajibiwa kisheria sio kihuni huni tu kisa utofauti wa vyama
 
Hii kesi haikupaswa kamwe kufunguliwa na chama

kwani chama kimetuhumiwa kuuza madawa ya kulevya

Mbowe ni mpuuzi na kwa upuuzi wake anakitumia chama kama defensive shield yake

Huyu mtu hafai kabisa hata kuwa mwenyekiti wa Chama...Yuko pale kwa maslahi yake Binafsi

Anakitumia chama na rasilimali zake katika kesi binafsi

Ana turnish Image ya chama kuwa inapinga nia njema ya RC Makonda ingawa approach yake imekosolewa sana

Its high time now ...Watu wanaojielewa kuondoka kwenye this stinking party.....
Mkuu lets be serious..... issue ya mbowe ni kesi aliyopewa na kma akifunguliwa mashtaka itabidi aweke mawakili yeye kma mtu binafsi unless chama kimsaidie tu ila hailazimishwi...... hii kesi imefunguliwa na chama kupinga approach wapi waliposema mbowe kafungua kesi kma mmiliki wa mbowe hotels alafu katumia wanasheria wa chadema???

be objective mkuu.... najua humpendi mbowe na naheshim mawazo yako ila kwa hili sioni kma kuna shida yoyote kma chama kimefungua kesi ya kikatiba irrespective mbowe alitajwa or not.
 
Back
Top Bottom