Dawa ya Wanawake Wambea Hii Hapa

Hakuna Ngumi inayouma kama Ngumi ya Pua!
 
Zanzibar huwa wanasutwa mchana kwa karabai saba na beni. Inauma kuliko ngumi mia.
 
Hakuna Ngumi inayouma kama Ngumi ya Pua!

Hainaga majibu ile...ikikupata bara bara lazima utumie kama dakika 10 to come back to your senses, hapo mwenzio keshaanza zamani na ushindi kapewa!
 
Mnh, anaonekana katumia nguvu zake zote!
 
weraaweraa unapigwa ngumi ya pua unahisi jino limetoka!!huyo mama hafai kabisaa duniani
 
Ha ha haaaaaaaaa!!Nimecheka sana aisee duh!Ngumi nzito mpaka bibi wa watu amepepesuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…